Recent content by mgayamapesa

  1. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Jengo limeanguka Zanzibar, mtu mmoja ajeruhiwa, wengine 15 wameokolewa

    huu utalii wa miji mikongwe ni hatari sana, kwa wale wanao husika na sekta ya watalii wawe makini hasa wanapokuwa na wateja wao{watalii
  2. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mtumishi wa Red Farm ashtakiwa kwa kuomba rushwa ili amfungie mteja mita ya Umeme

    Eti umeme! hadi vitambulisho tunatoa rushwa, mawatu mbwana¿
  3. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Watu zaidi ya 22 wapoteza Maisha kwa kufukiwa na kifusi baada ya Mgodi kutitia Wilayani Bariadi

    nadhani kati ya kazi unayokiona kifo kama hii ya machimbo kwa sababu wakati wowote mambo yanakuharibikia, yaani ni sawa na tumbo la kuhara
  4. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    upe mwili<bord] pongezi kwa kukuhifadhi ujengee shep> kama unatoka mapunye achana nayo
  5. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    walombo muache kujichetua utashi, kwa waliofanikiwa kufika maeneo haya ya rombo inasemekana vijana kwa wazee wanapiga sana pombe za kienyeji
  6. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

    upendo wa wanawake wa kijijini ni robo hasa pale anapokuja mpenzi wake wa kitambo kutoka mjini hususan dara hapo kama una utashi mdogo kama huyu mbwana lolote laweza kutokea lakini kwa huyu mbwana amekiuka ajenda yetu ya kikao cha akina baba wenye familia [ndoa]
  7. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

    mantiki ya haya makundi huwa sielewi, kikubwa huwa yanahitaji nini?
  8. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapenda ukuta na mageti?

    Tujuze! kama hizo nyumba za mbao huko ulaya zina masinki ya dhahabu kama yaliyopo nyumbani kwa diamond madale
  9. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Askari Polisi Bariadi watuhumiwa kumpiga mtuhumiwa na kusababisha kifo chake

    Yawezekana marehemu alikuwa mkorofi kupindukia ndio maana na police wakatumia nguvu kubwa mpaka kumsababishia umauti
  10. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Michael Jackson ashtakiwa kwa Ubakaji na Unyanyasaji wa Kimwili

    Write your reply...jamaa maokoto yupo njema mama kaona achangamkie fursa
  11. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    daa kweli mzee baba umenifurahisha
  12. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

    usipende kuchafua watu
  13. mgayamapesa

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

    utapeli tu, jamaa wamekaa wamefikiri kama walibuni njia ya kuhifadhi maiti na watu wakaipokea na kuitumia kwa nini wasitumie njia ya kuwarubuni wenye wenye vipato na waoga wa kifo au wapendwa wao wenye imani ya aina hiyo
Back
Top Bottom