Recent content by Mezzatz

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wangu wa kike ni jini, nampenda sana, naye ananipenda sana

    Popcorn
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

    Safi sana wameonesha kama wanaweza kubadilika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeacha alama ya mguu kwenye jiwe hili la Morogoro?

    Inawezekana huyo mtu alikua na hatua kubwa sana ambazo ya kwanza alitua olduvai ya pili morogoro na ya tatu ni mwanza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Popular Quotes

    Mungu hakupi unachotaka Bali anakupa unachostahili By unknown
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchizi au vipi?

    Ndocha boy
  6. M

    JamiiForums Tanzania Atheists tulionekana wa ajabu sana!

    Mi naamini mungu yupo Na kingine ninachokiamini ni kwamba mungu kamuumba shetani akashindwa kumdhibiti nahisi shetani naye ananguvu zinazokaribiana Na za mungu Na ndio maana mungu kamshindwa (kashindikana) kumdhibiti Asante
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi: Kiumbe mwenye historia tata

    Na nywele za kipilipili pia ni jua Mkuu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukicheki hizi movie, hutajutia

    Angalia the Raid2 Hutajutia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

    ,Salimia hii ni ya kuchua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

    Malariaquin
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    Labda nikusaidie huyo jamaa ameandika neg 50 Na sio 50
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ukifanya colabo na msanii unamlipa?

    Wengine wanalipa Wengine wanafanya bure kulingana Na makubaliano
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Hizo muvie ni nzuri coz ndani yake kuna comedy za kutosha ziko poa mfano hiyo 4
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Kuna nyengine inaitwa Evil Dead Hiyo ni noma lazima uote kama sio mzoefu Wa hizo muvie ni Bonge la horror
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jambazi gani alikuwa anakuvutia kwenye filamu za utotoni?

    Hii muvi ni noma yeni mkono mwanzo mwisho hakuna kupumzika
Back
Top Bottom