Ukicheki hizi movie, hutajutia

Ukicheki hizi movie, hutajutia

ya miaka....
sijui ya mwaka gani ila itakuwa 2010 hivi.
Ni kati ya movies zinazotisha maana mimi movie kutisha ni zaidi ya mtu kukatakata sijui kichwa kikaruka.
ingekuwa hivyo hata spartacus ingekuwa horror series
 
I can watch all movies ila horror movies not in my list aisee, so far sjaona what is so good kuhusu hzo movies.
Mimi sipendi movie za mazombie.
I used to watch them way back lakini now sipendi movies za mazombie na ma wolvies kama twilight saga
 
wewe utakuwa unapenda za kiromantic bila shaka...mapenziiii mapenzi
hapana mkuu mim napenda sna movie za action tena sio zile za kuamka na kuanza kupigana zile amabazo mpka uje uunganishe kisa ni mwisho wa movie.
1. The criminal
2. Term Life
3. IT
4. Blood Father
 
hao ndio kabisa sina muda nao aisee acha niangalie movie zinazoelewka katika dunia hii ya leo zombie ntalitolea wapi
Mimi sipendi movie za mazombie.
I used to watch them way back lakini now sipendi movies za mazombie na ma wolvies kama twilight saga
 
Jamaa wanajua sana kucheza na akili zetu..
sio sisi movie zetu mtu anatoka kijijini kuanzia mavazi yanaonekana mjini, mtu kapiga kalikiti, kuna 1 iliniacha hoi wameonyesha mazingira ya zamani lakini ofisini picha ya uncle magu nilichokaje aisee, na kuna 1 walicheza kama mateso ya Yesu cha ajabu mara bodaboda inapita sasa enzi za yesu kulikuwa na bodaboda
 
umenichekesha eti boda boda inapita
 
Katika hizo 4 nimeiona hiyo Texas chain saw, miaka mingi kidogo..nimeacha kuangalia horror movies na za kichawi kama nigeria pamoja na za mauaji ya kikatili.
Miaka mingi imepita naangalia muvie nyepesi nyepesi.
 
"HOSTEL " inanikumbusha mbali...hasa yule jamaa aliyefanana sana na Messi
 
Tuwekeeni na action movie za ukweli zinazofanana na Ninja za Boyka, Ninja ya Razor n.k...ambazo mkono ni wa ukweli na kama mtu apigwa panga au kisu damu yatapakaa kwenye screen ya laptop au kideo
Angalia the Raid2
Hutajutia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom