Recent content by mezakuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama ya kureplace leseni iliyopotea

    Nimepoteza leseni ya gari sasa. Nilikua naulizia gharama za kupata replacement zipoje?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili tusi la Siku hii ya Valentine limenitafakarisha

    Kweli mkuu, wengine wazazi walijinyima hizo nyumba na magari ili tuende shule nzuri. Japo sijafanikiwa ila nadhani nipo indebted kwa wazazi wangu kama nitafanikiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sawa mkuu, hopefully itatokea nafasi siku moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mkuu hamna vacany za civil engineering hata za intern. Maana tokea nimemaliza sijapata hata mahali pakutafutia experience mimi graduate. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na Provisional Certificate ya Bachelor Degree

    Mbeya university (MUST)
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na Provisional Certificate ya Bachelor Degree

    Chuo chetu wanadai wanaagiza kutoka Uk ili kuepusha kufoji vyeti.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na Provisional Certificate ya Bachelor Degree

    Nimemaliza chuo mwaka huu pale Mbeya University of Science and Technology. Bahati mbaya nilikuwa na Sup ambayo nilifaulu ila system ya chuo ilisumbua kwenye kuweka matokeo yangu. Baada ya kufatilia wakaniwekea matokeo yangu Jumatano iliyopita. Shida inaanza Examination Officer ananiambia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli atashindwa uchaguzi wa mwaka 2020

    mkuu umekula maharage ya wapi leo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Flyover bila hesabu ni hatari, hapo ni TAZARA leo hii

    mkuu anayejenga anaimplement design, kama miundombinu ya drainage haikuwepo kwenye drainage system contractor anaweza kusuggest kama anaona kuna ulazima ila nadhani kosa hapo si la contractor bali aliyefanya design.
  10. M

    JamiiForums Tanzania SAUT Mwanza hakina sifa tena ya kuitwa Chuo Kikuu, Serikali kitazameni upya

    acha uongo mzee sauti wanatawi Mbeya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Acha uongo kaangalie vizuri kwenye website yao Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Ishu kubwa hapa ni inferiority complex. Kuna watu hawataki kuguswa hata wakivunja sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Siku nyingine mfuate sheria kuepusha hasara.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

    Knowledge is wealth Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom