Mwenye ufahamu na Provisional Certificate ya Bachelor Degree

mezakuu

Senior Member
Apr 19, 2016
156
131
Nimemaliza chuo mwaka huu pale Mbeya University of Science and Technology.

Bahati mbaya nilikuwa na Sup ambayo nilifaulu ila system ya chuo ilisumbua kwenye kuweka matokeo yangu.

Baada ya kufatilia wakaniwekea matokeo yangu Jumatano iliyopita. Shida inaanza Examination Officer ananiambia sitapata cheti mwaka huu itabidi nisubiri mwaka 1 maana vyeti huwa vinaagizwa mara 1 kwa mwaka, wanachoweza kunisaidia kwa mwaka huu ni kunipa Provisional Certificate.

Wasiwasi wangu ni kwamba, je hii Provisional Certificate itatambulika kwenye taasisi mbalimbali? Najua humu kuna HR's na wazoefu.

Msaada tafadhali.
 
Nimemaliza chuo mwaka huu pale Mbeya University of Science and Technology. Bahati mbaya nilikuwa na supp ambayo nilifaulu ila system ya chuo ilisumbua kwenye kuweka matokeo yangu.

Baada ya kufatilia wakaniwekea matokeo yangu Jumatano iliyopita. Shida inaanza Examination Officer ananiambia sitapata cheti mwaka huu itabidi nisubiri mwaka 1 maana vyeti huwa vinaagizwa mara 1 kwa mwaka, wanachoweza kunisaidia kwa mwaka huu ni kunipa provisional certificate.

Wasiwasi wangu ni kwamba, je hii provisional certificate itatambulika kwenye taasisi mbalimbali? Najua humu kuna HR na wazoefu.

Msaada tafadhali.
University inaagiza vyeti kutoka wapi? Me huwa najua Chuo chenyewe ndo kinazalisha hivyo vyeti (hapa ntaomba kujuzwa zaidi) lakini swala la provisional certificate sidhani kama litakuwa na tofauti na transcript (result slip). Naamin kuna waajiri wengi watakao kusumbua ila wachache watakuelewa maana waajiri wengi hata transcript au provisional results sikuiz wanakataa wanataka original certificates. My take is hakuna namna ambayo ni safe kote kuna changamoto tu na kikubwa ni kuzikubali kama zilivyo.
 
Chuo chetu wanadai wanaagiza kutoka Uk ili kuepusha kufoji vyeti.
 
Back
Top Bottom