Pa Amandu
Member
- Sep 4, 2018
- 62
- 40
Shule hii ina wababe jamani khaaa, wkt nafanya kazi musoma nilikuwa naishi mitaa ya mara fish, duuuuuuh wale watoto siku za wkend basi ni taharuki
Miaka gani ndugu usagara
Hahahahahahahaha kama shule ya msingi niliyosoma basi tu sitoiweka wazi. Ila umenichekesha sana maana sikuwa naelewa basi tu nilikariri .
Hahahahahahahaha kama shule ya msingi niliyosoma basi tu sitoiweka wazi. Ila umenichekesha sana maana sikuwa naelewa basi tu nilikariri .
Sent using Jamii Forums mobile app
hii tuliambiwa yatupasa kuwa na maono ya badae, yaan panga maisha yako ya badae. Hivyo yakupasa kulenga mbali.Tuliokimbia umande utatujua tuu...hata mm sikumbuki jomonii😂😂😂Hata sina kumbukumbu.