Makonda alimaanisha nini kumwambia Fatma Karume hivi “Baba yako anakulinda”?

Olmost

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
337
439
.
IMG_20190705_100439.jpeg
 
Yule Fatima anadhani babake kuwa rais basi inatosha ,kumbe kuna maisha baada ya kustafu
 
Yule Fatima anadhani babake kuwa rais basi inatosha ,kumbe kuna maisha baada ya kustafu
Fatma anaonekana anatamani kuwa nje ya himaya ya kitawala ili watu wamjue kama Fatuma na sio Fatuma Karume kwa kuwa anajua kuwa katika hali hiyo ndio kuishi kwake katika ukweli! nadhani mnanielewa wale waliosoma zamaniiii! lakini sasa haiwezekani kumtofautisha yeye na familia ya Kifalme
 
Back
Top Bottom