Recent content by messsi

  1. messsi

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujanja wa drivers za dell latitude e5530 pliz, help!

    u ingia hapa Drivers & Downloads | Dell US then chagua window unayotumia , drivers zako zote zipo hapo... ni official drivers toka dell wenyewe......... HAPA
  2. messsi

    JamiiForums Tanzania Scams za online jobs

    Nimekuwa nikiona kia sehem watu wanaleta online jobs hasa hii inaitwa taskjobs /bigcash na majina mengine, napenda kuwahakikishia kwamba ukitumiwa hiyo link wala usipoteze mda wako , just ignore it, utapoteza mda wako na pa kusumbua wenzako... Hili nimelifanyia uchunguzi wa kutosha ni uongo...
  3. messsi

    JamiiForums Tanzania Haya kazi kwako

    Usipoteze mda .. watakwambia ukifikiasha dolla 300 ndo watakulipa ,zifikishe uone kitachotokea , usikae kimya uje kutwambia ........
  4. messsi

    JamiiForums Tanzania KITUKO!!: North Korea confirms it has landed a man on the Sun Read

    Jua lote ni gesi tupu sa sielewi huyo mtu ali land juu ya gas ..
  5. messsi

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

    May u ppo think of drones ,apache ,jet fighters n.k !
  6. messsi

    JamiiForums Tanzania Wana sayansi waanza kukukbali uwepo wa Mungu

    Unaposema kuna watu safi una maanisha nini ? safi kwa perspective ipi au kwa kulinganisha na nini ? ukishakubali kuwa kuna usafi na ubaya basi jua kabisa kuna sheria una obey au imani inayotenganisha hivo vitu viwili ... kwa hiyo sentensi yako tu ina justify kwamba kuna muumba ambaye...
  7. messsi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mdoli aina ya "Ted Bear"...Duka gani ninaweza kupata au nani ana uza Midoli

    Kuna movie moja kali inaitwa ted na mhusika ni ted bear "mdori " nafikiri mleta thread kaupenda sababu hiyo
  8. messsi

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kanisani balaaa...

    Imani moyoni kwako tu mambo ya mavazi muachie mvaaji mwenyewe .. unaweza kwenda church na suti ukitoka unapitia kadem kisa watu hawakuoni unahisi sio dhambi .. huyo alievaa nguo fupi akatoka akarudi nyumbani na bdao akaonekana mbaya .. wamasai wanaacha viungo vyao nje kama matiti na bado hawana...
  9. messsi

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha startimes,nina 40000

    ooops soory kijana , the thing was sold at slightly higher price coz nilikuwa nimelipia some months!! ALL THE BEST
  10. messsi

    JamiiForums Tanzania Laptop urgently needed

    Thread closed "
  11. messsi

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha startimes,nina 40000

    Uko wapi ?
  12. messsi

    JamiiForums Tanzania 100 BEST FOOTBALLERS in the WORLD for 2013

    1. Messi 2.cr7 3:ibrahimovich 4. Ribery
  13. messsi

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna album bora zaidi ya hii..?

    Naona mmemsahau nguli wa rhumba marehem kabasile yampanya (Pepe kalle ) na watu wake Kama bileko mpasi ,huyu Jamaa alitisha na rap zake za kubana sauti ... sikiliza ngoma inaitwa pinos kabuya utanielewa ... album bora kwangu ni cocktail ya Pepe kalle ...
  14. messsi

    JamiiForums Tanzania Laptop urgently needed

    Wako mtaa gani hao ?? Thanx in advance ... pa1
Back
Top Bottom