Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
- Thread starter
- #61
True ila ukweli ni kwamba toka 2003 JB M'piana hana tungo nzuri ni hayo tu mabanga na labda mtindo mpya wa Mpunda ambao haukutamba hata kidogo japo aliufanyia promo ya nguvu ila wapi. Hapa ni Koffi na Werrason pamoja na kina Wazekwa na kizazi cha kina Ferre Gola na Fally. M'piana inabidi apumuzike tu ajipange upya.
hao kina Fally Ipupa,Ferre gola na wengine ni kama kizazi kipya cha muziki wa Congo ambao wengi wao wamelelewa na hao wanamuziki wakubwa kama kina Koffi Olomide,so muendelezo tu wa burudani lakini wakongwe bado wana nafasi kubwa sana.