Scams za online jobs

Scams za online jobs

messsi

Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
51
Reaction score
22
Nimekuwa nikiona kia sehem watu wanaleta online jobs hasa hii inaitwa taskjobs /bigcash na majina mengine, napenda kuwahakikishia kwamba ukitumiwa hiyo link wala usipoteze mda wako , just ignore it, utapoteza mda wako na pa kusumbua wenzako... Hili nimelifanyia uchunguzi wa kutosha ni uongo mkubwa pliiz dont trust them.....

zipo online jobs nyingi tu sema nyingi zina apply ulaya na nchi zilizoendelea na return yake ni ndogo sana ... kwa hiyo usikimbilie promise za dolla 10 per click, ni impossible business,......... TANZANIANS U SHOULD NOTE THAT " making money online is almost the same as making money offline"
 
Back
Top Bottom