Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,692
- 20,453
Yaani atakuwa CUF?Jhajasema hivyo.......wewe utakuwa mliberali
Yaani atakuwa CUF?Jhajasema hivyo.......wewe utakuwa mliberali
Yanauzwa wapi hayo mavazi ya kanisani?[h=2]Mavazi ya kanisani balaaa...[/h]
mavazi tu sidhani kama kuna madhara bwana
usiangaike sana mkuu, wewe mwambie mamako avae hivyo ili upate kujua huwa inakuwaje!
nakubaliana na wewe kuwa kuna wakati tunakosea lakini biblia pia haikuweka kujisitiri mpaka wapi any way sitaki kutenda dhambi mieMmeamua kuipinga Biblia Takatifu kwa kuanza kuangalia kama kuna madhara ama la! mmeanzisha mafundisho yenu wenyewe na kuyafata huku mkijipa moyo kwamba ''hatudhani kama kuna madhara'' Aangalie ajidhaniaye amesimama ...
Una habari umeme umepanda bei!Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
mavazi tu sidhani kama kuna madhara bwana
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Mavazi ni uhuru wa mtu ili mradi havunji sheria za nchi,kanisa ikiwa na yenyewe ni taasisi inayofuata sheria za nchi,haipo kinyume na mavazi yanayokubalika kisheria.Hayo uliyoelezea hii ni kutokana na uonavyo wewe na sio sheria za nchi.Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
We
wengine tuna nyegeka kirahisi
Nayalaumu makanisa husika kwasababu kama wanaangalia na wananyamaza bas wanachangia kuua kanisa kwa mikono yao
Ila hawa madada wa kizazi hiki wanadai kwani kuna tatizo gani? wao wanataka kuona kwanza tatizo,wamekuwa kizazi kilichosemwa cha kutafuta ishara ndo waelewe na kuamini vinginevyo watakuona hauendi na wakati... hivi Torati si ileile ama nayo inaenda na wakati,eti? sasa mbona nyie mnaenda na wakati wakati Torati haijabadilika ndo ileile ?
nashangaaga sana pale ambapo kunatumika comparison ya mwanamke na mwanaume kwa habari ya mavazi, wakati tuko tofauti sana kimaumbile, kimtazamo, kimuonekano na standards za kupendeza. heri mtu aseme mwanamke anatakiwa aelewe occassion na mavazi ya mahali ila si kusema mwanaume anavaa suti na mwanamke.......