Recent content by meshuko

  1. meshuko

    Zijue taratibu za ndoa ya bomani

    Huyo anayesema umevurugwa haelewi kwamba hata hizo zinazofungiwa kanisani cheti kinachukuliwa bomani ndo inapelekwa kanisani na taratibu zote zinafuatwa kama vile kutangaza kwa siku 21, na pia ndoa ya bomani haina mambo mengi inaokoa gharama na haina mlolongo mreefu
  2. meshuko

    Mwanamke unajijua kabisa upo siku ya hatari unaenda kwa mpenzi wako, huko ni kutafutiana lawama

    Ukimwi hauangalii group la damu aisee,wengi ni 0 lakin wko positive HIV cha msingi hapo ni michubuko tu
  3. meshuko

    Msaada wa kabila hili

    Wahazabe wapo singida afu huyo ni mjamzito
  4. meshuko

    Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

    Asili ya wakazi wa arusha ni wamasai wameru na wairaq wachaga wahamiaji tu wakitokea Kilimanjaro Sent using Jamii Forums mobile app
  5. meshuko

    Jiji la Arusha lazidi kuwa tamu

    Penda sana home arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  6. meshuko

    Uchaguzi Kenya: Lowassa alienda kama mwanachadema au mmasai?

    Siyo kila Masai katoboa masikio hilo mlielewe waliowahi kwenda shule hawakuwa na muda wa kutoboa masikio, jina lowassa kwa mwanaume kwa mwanamke Nawassa kimasai hicho ashe naleng' Sent using Jamii Forums mobile app
  7. meshuko

    Mke wangu nimemtimua leo

    Hakuna aliykamilika chini ya jua sote tuna makosa so msamehe muendelee na maisha, unaweza ukaoa mwingn ukajuta mara 100000
  8. meshuko

    Mke wangu nimemtimua leo

    Mapenzi anayohamisha kwa mama yake si kma ninyi mnavotafsiri, kaka mm nakushauri umrudie mkeo kwani atakuwa amejifunza kosa lake afu angalia mapungufu uliyonayo kwake ujirekebishe
  9. meshuko

    Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

    Rais Magufuli anapiga kazi sana kwani hii nchi ilikuwa imefika pabaya so ni kama anaifufua, tumtie moyo kwa miaka hii 5 ya kwanza atafanya mengi mno tusiwe wa kulalamika kwa kila jambo watz wenzangu
  10. meshuko

    Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Wapo waliotulia kama mm
Back
Top Bottom