tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Hapo zamani ilikua ngumu kumpata MTU wa kumuowa au kuolewa Naye, Ila Ikua lahisi kuishi naye ukimpata, tofau na mapenzi ya miaka ya leo, leo hii ni lahisi kumpata MTU wa kumuowa au kuolewa naye but ngumu sana kuishi naye,