Uchaguzi Kenya: Lowassa alienda kama mwanachadema au mmasai?

Kwanza lowasa sio mmasai lowasa ni mmeru umasai kajipachika tu kwa kutumia fani aliyosomea chuo kikuu

Yaani kwa maoni yangu Lowasa Ana haki kabisa kutunukiwa nishani ya usanii wa kitapeli uliokubuhu. Kuwadanganya wamasai Africa mashariki yote na wakampa ulaigwani wakati hata sikio moja hajatoboa kimasai.

Lowasa msanii hasa na ilikuwa sahihi kwake kusomea digrii ya usanii pale chuo kikuu cha dar es salama. Kawasanii Hadi wakenya na ujuaji wao wanapiga magoti na kumwambia Karibu Laigwani wa masai. Hadi Kenyatta kapigwa usaniii.

Apewe nishani Kabisa. Na hiyo Nishani nashauri Kenyatta ndio aikabidhi mbele Ya media zote za East afrika na mbele Ya wamasai wote wa East Africa na magazeti Kama la Forbes si vibaya kumtangaza Kama political conman of the Year
 
Mtoa mada ana mtazamo wa mapokeo ni sawa na bendera fata upepo.Kwasababu hoja yake inajichanganya yenyewe.
 
Mleta uzi umeonesha kutokukubaliana kwa kitendo cha Lowassa kwenda huko Kenya!Lowassa ni Mmasai na sidhani aliomba azaliwe hivyo!ni mwana Chadema kwa kulazimishwa kutokana na kuwekeza nia ya kuwa rais akiwa means CCM tena nasikia walifanya agano na Mheshimiwa ambaye ni rafiki yake ambaye alipata kumwambia yaliyomkuta 1998 ni ajali ya kisiasa na urafiki wao hawakukutana barabarani!

Umesema Lowassa ni fisadi lkn ufisadi dhidi ya nchi hauthibitishwi humu,kama nchi tunao utaratibu na mahali pakuwapeleka mafisadi kama ndivyo haipendezi kushadidia kuwa ni fisadi halafu tukaishia hewani,apelekwe mbele ya mahakama aulipie ufisadi wake,kinyume na hapo ni kauli za chuki na propaganda za kumchafua.

Kenya ni nchi inazotaratibu za kuwakaribisha au kuwakataa wageni,kama akivunja sheria wenye Kenya yao wanajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila Masai katoboa masikio hilo mlielewe waliowahi kwenda shule hawakuwa na muda wa kutoboa masikio, jina lowassa kwa mwanaume kwa mwanamke Nawassa kimasai hicho ashe naleng'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida yao nilisoma nao wapo hivyo jioni wanaungana wanakaa vikao vya kiyero yero ukija kabila nyingine wanakuita hii Mswahili nafata nn sasa
Hata hivyo uliwafuata wanini ikiwa hawakuhusu?

Kuwa na ushirika na Mswahili ni kujitakia UMASIKINI
 
Hata Shetani anajua
Lowassa ni Never ever kuwa Rais wa Watanzania
labda Rais wa Ufipa pekee
 
Back
Top Bottom