paschal sabai
Member
- Apr 5, 2017
- 83
- 73
Hivi huwa mnakosa ya kujadili? MTU anahoji hadi amri za mungu
amri ni amri tu.kama kunywa viriba sasa hivi ukikutwa nacho utajuta kuzaliwa dumeTatizo letu binadamu sikuzote tunajitahidi kuhalalisha haramu kuwa halali. ..hata kama hizo amri 3 ziliwekwa na binadamu unatakiwa uzifuate.
We jama hizo piaa ni amri zake
Umeanza udin usitake kutafutia watu bun hapa ostaz mandazWakatoliki bana....
Cheki wanagombana wao kwa wao.
Biblia wame edit wao, wanaisifia wao na sasa wanaikosoa wao.
Heheheheee....
Al islam huwadin lladhi.
Ndugu tubu dhambi hii ya uwongo kabla jua halijazama siku ya leo, vinginevyo UTAPATA PIGO BAYA SANA KUTOKA KWA MUNGU aliye mbinguni.Nimekaa na kutafakari sana kuhusu hizi amri kumi ( 10 ) za Mungu juu yetu sisi Wakristo na kugundua ya kwamba zile saba ( 7 ) kweli Mwenyezi Mungu aliziweka ila hizi tatu ( 3 ) lazima tu zitakuwa zimewekwa na Sisi Wakristo kwa kiherehere chetu na roho mbaya zetu tu zilizotukuka.
Nakataa kata kata kwamba Mwenyezi Mungu aliweka hizi amri tatu zifuatazo :
Hivi jamani tuacheni Unafiki na Uwoga kuna Binadamu au Mkristo aliyetukuka kweli anaweza kuishi bila......
- Usiseme Uwongo
- Usizini
- Usitamani Mwanamke / Mwanaume asiye Mke / Mume wako
Mimi kuanzia leo hii naamini kuwa amri za Mwenyezi Mungu ni saba ( 7 ) tu na hizi tatu ( 3 ) tumezitunga tu Sisi Binadamu / Wakristo hivyo nawashaurini pia Wakristo wenzangu wote popote pale mlipo kuwa acheni kudanganyika na Watu wabaya waliomsingizia Mungu kuwa amezuia kusema Uwongo, Kuzini na Kutotamani Mpenzi wa Mwenzako.
- Kusema Uwongo?
- Bila Kuzini kwa kisingizio tu cha kutegemea Mbunye / Mkuyenge huo huo 24/7?
- Kutamani Demu / Mke wa Mshikaji au Buzi / Mume wa Mtu?
Ipo haja kwa Wakristo wenzangu kujifunza Kutafakari haya Maandiko vizuri na siyo kukubali tu kudanganywa na Watu wa hovyo hovyo ambao hawaruhusu Watu wenye akili kubwa kuhoji mambo ya msingi kama haya.
Haya mnaojua dini na maandiko yake Kindakindaki karibuni mtiririke na mserereke Kiroho zaidi.
Nimekaa na kutafakari sana kuhusu hizi amri kumi ( 10 ) za Mungu juu yetu sisi Wakristo na kugundua ya kwamba zile saba ( 7 ) kweli Mwenyezi Mungu aliziweka ila hizi tatu ( 3 ) lazima tu zitakuwa zimewekwa na Sisi Wakristo kwa kiherehere chetu na roho mbaya zetu tu zilizotukuka.

Kama huwezu ukristo kuwa mpagani sio dhambi kwa ww kuchagua kuwa mpagani. Ila kweli umeijua ila ukafuata njia ya uongo ole wako wewe.Nimekaa na kutafakari sana kuhusu hizi amri kumi ( 10 ) za Mungu juu yetu sisi Wakristo na kugundua ya kwamba zile saba ( 7 ) kweli Mwenyezi Mungu aliziweka ila hizi tatu ( 3 ) lazima tu zitakuwa zimewekwa na Sisi Wakristo kwa kiherehere chetu na roho mbaya zetu tu zilizotukuka.