Hahaaa hujatulia weweNani kakuambia mwanaume anasaliti nyie ndo mnao saliti mana hamuwezi beba mimba za wanaume 2 ukiolewa utimiziwe majukumu tu inatosha sio kumchunguza mwanaume
ila huku jamii forums mtu akifanya tukio na mke wake lazima alete report eti inatuhusu kwani?
Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
wewe jamaa unaongea kama vile tupo kwenye dunia ambayo Eva au Hawa hakudanganywa kirahisi, unaongea kana kwamba una bima ya kutosalitiwa, unaongea kana kwamba wote wanaosalitiwa ni wazembe au wavivu, unaongea kana kwamba unayajua sana mawazo ya mkeo, unaongea kana kwamba sekunde moja ijayo unajua kitakachokutokea, pengine unafikiri mtu kuleta post hapa ni DHAIFU ila wewe usiyeleta malalamiko hapa JF ndiye STRONG. SAFARI BADO BROTHER.Ndiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
Kama haujazaa nae mpige chini fasta. Huyo ni mnyama mkatili. Mshukuru Mungu umegundua kabla haujazaa nae watoto ingekulazimu uendelee kuvumilia.Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
wewe jamaa unaongea kama vile tupo kwenye dunia ambayo Eva au Hawa hakudanganywa kirahisi, unaongea kana kwamba una bima ya kutosalitiwa, unaongea kana kwamba wote wanaosalitiwa ni wazembe au wavivu, unaongea kana kwamba unayajua sana mawazo ya mkeo, unaongea kana kwamba sekunde moja ijayo unajua kitakachokutokea, pengine unafikiri mtu kuleta post hapa ni DHAIFU ila wewe usiyeleta malalamiko hapa JF ndiye STRONG. SAFARI BADO BROTHER.
Mkuu kuna mambo mengine mama yako anakufariji vp?emvu acha mambo ya ajabu
Hata wewe siku zako zinahesabika kabla Mwanamke hajakumwaga, kama haujamwagwa bado, Wanawake hawapendi Wanaume nyoronyoro, wanapenda Wanaume imara!
hongera kwa kutosalitiwa na mwanamke wako maana uko imara haswaaa teh teh!Hata wewe siku zako zinahesabika kabla Mwanamke hajakumwaga, kama haujamwagwa bado, Wanawake hawapendi Wanaume nyoronyoro, wanapenda Wanaume imara!
Mkuu hakuna faraja ya mahusiano kwa Mtoto wa Kiume ukaipata kwa Mama,angesema Baba au Babu au Baba mdogo,au saana kwa Mjombakufa
riji ni namna ya kumtoa katika kilindi cha mawazo na kumjengea / kumpa picha ya amani mbeleni... na wala si kusex .... hilo neno linajitegemea kimaana hivo usiende mbali sana mkuu.