Recent content by mendex

  1. mendex

    JamiiForums Tanzania Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, au ilijengwa bure?

    Barabara yenye mashimo ni hiyo na ya Mtwara Dar. Ni balaa
  2. mendex

    JamiiForums Tanzania Kwanini ikitokea delay au hitilafu kwenye SGR huwa haitolewi taarifa kwenye vituo na treni husika?

    Habari wana jamii forum. Kwa nini pindi inapotokea hitilafu katika treni ya SGR huwa ni vigumu kwa TRC kutoa taarifa kama wafanyavyo mashirika ya ndege. Unakuta treni ilitakiwa kufika kituo fulani muda fulani lakini inachelewa zaidi ya nusu saa au saa nzima lakini taarifa haitolewi vituoni...
  3. mendex

    JamiiForums Tanzania Hiki Ndicho Kimenitokea Jana Kwenye SGR Baada ya Maamuzi Magumu

    Ukilipia online ticket inatumwa kwenye email. Ukifika pale una scan bar code tu. Hakuna haja ya ku print.
  4. mendex

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, ningetumia Trilioni 8 Kujenga km 5,000 za Barabara za Lami Badala ya Km 400 za SGR

    Tuna shida kubwa sana kama taifa. Mtu yeyote anayebeza ujenzi wa reli inabidi arudi tena shule au atembee zaidi duniani. Usafiri wa bei rahisi duniani ni reli na maji. Na ndio usafiri pekee ambao unabeba mizigo mizito kwa mkupuo vile vile maintanance cost yake ni ndogo compare to Barabara na...
  5. mendex

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kununua gari kwa gharama zisizo stahili

    Crown na Mark X engine ni moja
  6. mendex

    JamiiForums Tanzania Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

    Vlook up is very very very easy
  7. mendex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzinzi si jambo jema, nimekosa cha kumshauri huyu ndugu

    Huyo mzinzi ni wewe. Kubali mtoto huyo
  8. mendex

    JamiiForums Tanzania Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Ukiangalia Mito. Maziwa na Milima. Unaweza kuta Tanzania ndio ilikua bustani ya Eden
  9. mendex

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Avg consumption. Yeah ni kweli kuna sehem nikanyaga sana kufidia traffic
  10. mendex

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mnyama crown athlete. Speed 120 but check rpm… mwendo ni kutumia cruise ctrl tu
  11. mendex

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Barabara haijatulia haswa kuanzia daraja la rufiji mpaka unaingia Somanga. Halafu Nangurukuru mpaka Mbwemkuru.. kama ni mtu wa mwendo kuwa makini na mashimo pamoja na diversion, bila hvyo utapasua tairi na hata rims
  12. mendex

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nimeshawahi kutoka tabora saa moja asubuhi, saa kumi nikawa kibaha, na hapo nilikaa kama saa nzima Dodoma kwa ajili ya kula.. lakini mpaka kupita ubungo ilikua saa tatu usiku yani ile foleni siwez kuja kuisahau.. ilikua december 2019 na mnyama crown athlete
  13. mendex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Brother hiyo mimba ni yako. Na coca haina mechanism yeyote ya kuzuia mimba. Kama aliingia tarehe 6 na mkakutana tarehe 24 kuna posibility kubwa ya yeye kupata mimba if and only if ana mzunguko wa siku 30 na kuendelea… 75% hiyo ni mimba yako
  14. mendex

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mubashara VOA

    Lissu kadanganya. Eti mlinzi wa magufuli amekufa.. wakati yupo hai kabisa na msibanii alionekana
  15. mendex

    JamiiForums Tanzania Story: Shemeji Monika

    Hii story unairudia. Ile ya mwanzo haikuisha
Back
Top Bottom