My Favorite roads 2021 kama unapenda kunyoosha goti!
1. Manyoni - Tabora (Via Itigi hatari sana but usipate breakdown hakunaga msaada ile njia

2. Arusha-Longido
3. Arusha - Manyara, na Kondoa- Dom
4. Biharamulo - Muleba
5. Makambako - Igawa (sema mchana kuna tochi kali sana)
My Best Sceneries
1. Moro - Iringa
2. Mbeya - Kyela (Nature ya hapa ni balaa)
3. Arusha-Namanga (Landscapes, vilima, wanyama)
4. Muleba - Chato (driving along Lake Victoria)
5. Himo-Marangu, Kilema, Rombo (hizi njia ukipata muda pita tu hata bila sababu kunavutia sana sana)
6. Mombo- Lushoto
7. Mbeya- Chunya
8. Mara-Serengeti- Ngorongoro Arusha Kama una gari ya juu don’t miss this
Zingine muongezee wazee