Recent content by Mendelian Inheritanc

  1. M

    UJUMBE katika mavazi ya Waandishi waliomsindikiza MWANGOSI

    R I P. Hakuna jambo lolote baya linaloweza kushindana na ukweli likashinda.
  2. M

    Tamko la BAVICHA jimbo la Segerea kulaani mauji ya kinyama ya David Mwangosi

    Safi sana makamanda waziri aache propaganda za kitoto ajitokeze ajibu kwa nini serikali ya ccm inatumia polisi kuua raia wasiokuwa na hatia kama ambavyo imefanya huko Iringa, Tarime, Morogoro, Arusha na maeneo mengine.
  3. M

    Tamko la BAVICHA jimbo la Segerea kulaani mauji ya kinyama ya David Mwangosi

    Serikali ya ccm ielewe kuwa Leo mauaji haya yanatuuma ila hatufanyi kitu, IPO SIKU maumivu yatatuinua, tutadharau damu, risasi, vitu vizito na mabomu ya machozi ili tuondoe maumivu yetu ya muda mrefu. zen huyo Tendwa msajili wa vyama vya siasa akitaka dunia ijue aanze na kukifuta CHAMA CHA...
  4. M

    Tamko la BAVICHA jimbo la Segerea kulaani mauji ya kinyama ya David Mwangosi

    Safi sana makamanda waziri aache propaganda za kitoto ajitokeze ajibu kwa nini serikali ya ccm inatumia polisi kuua raia wasiokuwa na hatia kama ambavyo imefanya huko Iringa, Tarime, Morogoro, Arusha na maeneo mengine.
  5. M

    Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

    magamba wajinga kweli,CDM ni DODOSO REFU huu ni moto wa kuotea mbali mtakoma ni mwendo wa maswali 67 hahaa haaa
  6. M

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Haaaa haa Kashinje ashinde, KAFUMU AFUMULIWE. chezea CDM na M4C wewe
  7. M

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    huna sifa za kutabiri jombaa, M4C ni MOTO wa kuotea mbali. chezea CDM wewe
  8. M

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    ccm ni sawa na nyoka tuliyekwisha mponda kichwa, hichi kilichobaki na nepi anachokifanya ni mtikisiko wa mkia tu hauwezi kunga'ta lazima mwisho nyoka afe tu. haaaah hhaaaa CHADEMA MWENDO MDUNDO, FICHUA MAFISADIIIIIIIIIII.
  9. M

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Nilweli kamanda mboka yupo fit sana nijambo la kumshukuru sana Mungu kwa haya yote aliyomtendea Dr. mimi mwenyewe nimezungumza nae na kusikia akisema kwa maneno yake mwenyewe kuwa niko fit kwa lolote. nimefurahi sana kwa kurudi kwa kamanda wetu akiwa na nguvu kuliko tulivyodhani, sikuzote ukweli...
  10. M

    Dr. Steven Ulimboka anarudi leo saa sita mchana

    Aliyekuwa M/kiti wa Jumuiya ya madaktari MAT anarudi leo siku ya Jumapili saa saba mchana kutoka Africa kusini alipokuwa akiendelea na matibabu, baada ya kutekwa na kuteswa vibaya na watu wanaosemekana kuwa hawajulikani. Akizungumza na wanahabari Katibu wa Jumuiya hiyo anasema kuwa leo kuanzia...
  11. M

    Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

    haa haa mfa maji haachi kutapa tapa we zzk situmeshakuambia tumegundua unamikono michafu usicheze na sisi?
  12. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Haha haaa haa mkuu umenifurahisha sana vipindi 80 we ni noma, unavuta bangi kwanza kabla yakuingia class nn?unawezaje? wakati hauna mshahara ila unaposho tu kwa mwezi. acha hayo mambo ya kuwa kama mwl wa zamani bana, hayo mambo mi niyaexperience pia wakati wa REPRODUCTION class inakula nyomi...
  13. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    nasema hivi walimu msikate tamaa haki ya mtu haiibiwi ila inacheleweshwa tu, endeleeni na mgomo ila uwe baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ambapo mtafika shuleni kama kawaida ila mfanye mambo yafuatayo 1. Muwe mnaita majina tu. 2. Muwe busy ajabu mnaandika lesson plan (andalio la somo) siku nzima. 3...
  14. M

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Zito Oquard kabisa. Sasa Tanzania inanuka rushwa .... tunataka kiongozi anayejua hivyo, ambaye atasema rushwa kwangu mwiko, mwaminifu kabisa kabisa hawezi kugusa rushwa na... watoa rushwa watamjua hivyo. tumegundua zito we unamikono michafu inayonuka rushwa huwezi kucheza na sisi.
Back
Top Bottom