Naona Zitto anatakiwa aandikiwe kila anachopaswa kusema kwa kipindi hiki cha kuelekea 2015 vinginevyo kwa nimjuavyo na maneno yake atakuwa mjadala kila siku.
Kwa ujinga kama huu ulipaswa mleta mada kuupuuzia huko huko ulikokuwa...
Tuna muda mdogo wa kujadili, hivyo tujitahidi kujikita kwenye mambo yenye uzito kidogo, kuliko huo upuuzi alioufanya Zitto (kama kweli alisema hivyo) huko Bungeni!
Zitto anatumiwa na chama fulani bila kujijua. Kwa namna nyingine inarudisha mipango ya chama chake nyuma kwa kumjadili na kumfikiria yeye. Maoni yangu chama chake kiendelee na mipango madhubuti ya kuchukua nchi 2015. Tunataka hali ya wananchi iimarike baada ya CDM kuingia madarakani na inawezekana kwa sera ya kila mtu ataishije nchini hapa.
Jamani, hivi ni ipi hasa kazi ya dodoki?
Natumani ni kumeza uchafu ili hali ikisafisha vyombo vingine. Any way nafikiri wapo na binadamu kabla ya dodoki, kwa kutegemea kwamba wanachofanya ni kwa nia ya kuwamaliza wenzao kumbe inakuwa kinyume chake.
Naomba iwe ni kauli ya utani kama mchangia mada mmoja alivyosema, japo Zitto anavijimambo vyake lakini hata mimi nadhani ulikuwa ni utani kwa Tundu Lissu.
[h=2]Thursday, February 24, 2011[/h] [h=3]RAIS WA RBP OIL AND INDUSTRIAL TECHNOLOGY LIMITED, RAHMA AL-KHAROOSI AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA KAMANDA KOVA.[/h] Rais wa RBP Oil and Industrial Technology Limited, Rahma Al-Kharoosi (kushoto), akikabidhi msaada jezi na mipira kwa Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Sulemani Kova kwa ajili ya Kombe la Kova (Kova Cup) lenye lengo la kuwaweka karibu wananchi kwa kushirikiana na Polisi kumaliza uhalifu jijini.Makabidhiano hayo yalifanyika Makako makuu ya kituo cha kati cha Polisi Dar es Salaam Wakikabidhiana Aksante sana Mama Rahma Wakifurahi kwa pamoja Wakikabidhiana moja ya Kombe Kombe Kamati ya maandalizi ya Kamanda Kova Cup. Kamanda Kova akizungumza Akisisitiza Akisisitiza jambo Kamanda Kova Mnanipata? Kamanda Kova
Zito Oquard kabisa. Sasa Tanzania inanuka rushwa .... tunataka kiongozi anayejua hivyo, ambaye atasema rushwa kwangu mwiko, mwaminifu kabisa kabisa hawezi kugusa rushwa na... watoa rushwa watamjua hivyo. tumegundua zito we unamikono michafu inayonuka rushwa huwezi kucheza na sisi.
ivi wewe zito unaamini kula ruswa kwako kunaweza kuiuwa chadema sisi wananchi tupo pamoja na chadema hata kama hawatapata uraisi lakini ukweli tutaupata kupitia kwao jirekebishe uwe mmoja wakutupa ukweli.
ivi wewe zito unaamini kula ruswa kwako kunaweza kuiuwa chadema sisi wananchi tupo pamoja na chadema hata kama hawatapata uraisi lakini ukweli tutaupata kupitia kwao jirekebishe uwe mmoja wakutupa ukweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.