Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

Farasi akiwa anataka kufa hurusha rusha mateke sasa ole teke lake likukute...magamba yanatutupa mateke na nadhani ndio kifo chao....kukata umeme mara leo barabara kuzichimbua...looooo!
 
Duuu hii nayo kali ya mwaka!!hawajui hasira itazidi sasa ,wagonjwa watapita wapi?na wasafiri wa kawaida na mahitaji toka sehemu moja kwenda ingine?inatia hasira kwa wakazi pia sio komoa CDM pekee!
 
attachment.php


Hii sio dawa!

You can fight the wind of change kweli tunatawaliwa na watu wajinga na dhaifu sana........
 
quote_icon.png
By Mwita Maranya
Mkuu STEIN kabla Pasco hajaja kujibu hoja yako hebu tazama hii picha kisha utafakari kama kweli watanzania wenyewe wanaweza kukwepa lawama katika umasikini huu tulionao. Itazame vizuri hii picha halafu useme neno.

Mkuu Mwita mimi sishsngai kwani huwa wanawagawia hadi chakula, nguo, Pesa na Sukari wakati wa Uchaguzi. Kwa mapungufu waliyonayo watanzania ni vigumu kukataa lakini swali katika hiyo picha mwenye matatizo ni Nape au hao Raia???

Kwangu mimi kama Nape ameona waTZ wanahitaji kanga, Tishet na Kofia ile hali hakuna wanafunzi hawana madawati, waalimu si wakutosha na madawa hakuna hospitali then mimi naona ni sawa tu kwa hao wananchi kuchukua.

Mbona sijawahi kuona CCM ikitoa Madawa, Kujenga Dispensary etc???

Wakuu Mwita na Stein inahuzunisha sana pale viongozi wa ccm wanapoenda vijijini kwa wananchi masikini na kuwarubuni kwa kanga na Tshirts huku wakiwa na mashangingi yao..! Nimetembea vijiji vingi sana hapa Tanzania kwa kweli wananchi ni masikini wa kutupwa.. Hawapaswi kulaumiwa kwa haya maana haya kwao ni kama kupata nyama mara moja kwa mwezi.. Imagine unaenda kijijini chenji ya elfu tano kupata ni shughuli..! Kinachofurahisha ni kwamba wengi wao wameanza kupata mwanga na kuelewa kwamba umasikini wao unaletwa na ccm..
 
Inauma sana kuifikilia hii nchi ukiwa na akili timamu sio kama Nape au Mwiguli wenye laana za damu za watz قاجندباجدس.أففجدبجشد
 
Ni walaini kama maini na mbinu zao ni za kizamani kama Kinjeketile Ngwale
 
ccm wamelala hao hawaoni mbali kuchimba mtaro njiani unamuongezea mwenzio sera za kunadi chama chake
 
attachment.php


Hizi ni moja ya mbinu za ccm kuzuia m4c ya chadema, hapa ni wakiwa wamechimba barabara ili msafara wa chadema -m4c usiingie kijiji cha namgezi kata ya keya ulanga mashariki...kwa fikra izi je ccm imefilisika kifikra!!!

Au ccm wanapitisha bomba la maji....?? kweli ukistajabu ya musa firaun humwachi mbali
 
Mleteni PASCO kwenye huu UZI, then atuambie tatizo ni watanzania, inawezekana CCM wamekodi wahuni waje wachimbe hiyo bara bara.

Tatizo ni CCM lingekuwa hata mtu mmoja, basi ingekuwa rahisi we angalia mambo yanayofanywa. Hivi ingekuwa msafara wa JK si Polisi wangefukia mara moja
Mkuu Stein, tatizo ni Watanzania!, hizi ni delaying tactics tuu, wanaweza kuchelewesha ila hawawezi kuzuia, leave CCM alone, reach out the masses!. Ukiona hali imefika hivi for "the going gets tough", ujue "the tough gets going!"- Bill Ocean. For sure CCM inatakiwa kuondolewa sio na Chadema, bali na watu!.
 
Mleteni PASCO kwenye huu UZI, then atuambie tatizo ni watanzania, inawezekana CCM wamekodi wahuni waje wachimbe hiyo bara bara.

Tatizo ni CCM lingekuwa hata mtu mmoja, basi ingekuwa rahisi we angalia mambo yanayofanywa. Hivi ingekuwa msafara wa JK si Polisi wangefukia mara moja

Sasa CHADEMA wachukue mbao nene akiba ili waweze kutandika daraja la dharura kuvuka "uhuni" kama huo.

Abiria waliomo kwenye gari wateremke,anabaki dereva tu, wanatandika mbao, safari mbele kwa mbele.
 
mtu akiwa katili sa hufikia mahali akajidhuru mwenyewe sasa hii si itazidi kuwapotezea hata hao wapenzi wachache walio nao ila mkutano ukiitishwa hapo hapo bondeni mambo yatajipa tu chezea m4c weye.
 
Back
Top Bottom