wasemayo ni maneno mema, lakini watutake radhi kwa maoni yao mwaka 2005, kuhusu chaguo la mungu. which we bought without checking the facts, i.e. how could mungu choose a person from this religion or belief and then reveal the choice in another and different group! secondly how come this Mungu...
huyu ni professa, mwendekeza tumbo! Wasomi wa namna hii ni wanafiki wanachosema ktk siasa ni tofauti na nini wanafundisha watu madarasani. hizo point alizozitoa yeye, ukiandika esay kwenye term paper yake unafeli takuuliza substance ziko wapi? mbona hoja hafifu? Mambo ya REDET hayo, wanaboa
hili tatizo ni sugu ktk vyuo vyetu, ila sasa hakuna anayesimama na kuliangalia kwa umakini wa kutosha, especially with a weak system we have now where fave dr are appointed by ikulu who will care a single subject favour!
kuna utata mkubwa, tunaambiwa kuwa mabint wananyanyaswa madarsani...
bin strokin anahusishwa na Lewinsky scandal- mapenzi ya mkono (stroke); bin cheating-- anamtoto nje ya ndoa re: cheating, bin Lyin soryy sina ufahamu juu yake
Wana JF, kweli utandawazi umetutafuna kila kona.
Unajua walezi pamoja na wazazi siku hizi tumegawana mamlaka na watoto tunao walea. mtoa hoja hofu yake kubwa, ninavyoona ni kuwa kumbana mtoto anahisi ataonekana anamtesa kinamna- which is kibinadamu.
My take, ni kuwa mtoto ni mtoto maisha yake...
Hapa ni mwamba ngoma.................!
i wish i could hear from FL1, Prety, Womanofsubstance inc. etc tupate opinion balanced.
my take, ni kuwa binti hajajua kuwa wenzie wanalalamika huduma inapunguzwa kila akina baba wanapokuwa na pressure, kazini, mitaani puls nyumbaa ndogo. She is...
Hiyo ni janja yao, hawajamaa zetu! wao ndo wanataka uraia wa nchi 2. wanajua uchafu waliufanya so wanataka wakiona vipi wakimbie. afu ishu ikitulia wanrudi faster.
Sisi hatuwezi kumwiiga mwisraeli- ile kitu tofauti ni uzalendo pale ni asilimia mia zaidi, ndo maana wao hakuna mtu anaweza uza...
mbona naye anaonekana fisadi kwa kiwango kizuri tu! hujamsoma anaenda ughaibuni kufuata hela ya kampeni na amesha tanguliza vijana wake wanamwaga pesa jimboni.
We are dommed
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.