ogm12000
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 304
- 86
Habari zenu wana JF!
Nimekuwa najiuliza sana kwanini kiwango cha ukimwi kiko juu zaidi africa kuliko nchi zilizoendelea. Inamaana sisi watu weusi ndio tunafanya sana ngono? Vile vile ata USA takwimu zinaonyesha watu wengi walioathirika ni blacks.
Kuna daktari mmoja wa USA ndio anashtumiwa kutengeneza vijidudu vya ukimwi unaweza kupata clips za kwenye youtube [ame]http://www.youtube.com/watch?v=CDxZ7PX8YGI&feature=related[/ame]
. Sifahamu ni kwa kiasi gani suala hili linaukweli. Kama ni kweli jamaa alivitengeneza je aliweka viwe more active kwa watu weusi? Ni baadhi ya maswali nayojiuliza!
Kati watu wanaofanya mapenzi kwa kiwangu kikubwa ni warusi yani wengi hawatumii condom na hali sio mbaya! why kwetu sisi waafrica?
Sex inafanya sana tu ulaya sasa kwanini waafrica wanaathirika zaidi?
Lets discuss about this
Regards