Recent content by Melon Micky

  1. Melon Micky

    Nataka kurudisha kwa jamii

    Kuna mambo mengine nafikiri(kwa maoni yangu) si ya kuomba ushauri. Mfano ukipata maoni mengi ya kukutaka usimsaidie huyo kijana utafanya hivyo? Kijana jifunze kujisikiliza, sikiliza sauti ya ndani yako vile inasema nawe, sikiliza moyo wako unavyokuambia na kisha ufuate.
  2. Melon Micky

    Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

    Mkuu haiko hivyo. Kila mtu anaenda Kununua bidhaa sehemu ambayo mfuko wake unaruhusu. Ukiona mahali kuna bidhaa ambazo wewe unaona ni bei kubwa ujue si mahala pako hapo. Usiwabeze eti watamuuzia nani. Yawezekana hata unapofanya manunuzi wewe kuna wengine wanapaogopa. Kuna watu wanabeba elfu...
  3. Melon Micky

    Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

    Kama mtu ulikua unatumia tecno na infinix kisha ukahamia kwenye simu za samsung huwezi rudi nyuma tena, labda kama uchumi umekaa vibaya kidogo. Waliowahi kutumia hizi simu zote watakua wmenielewa. Muhimu ni utunzaji ila samsung ni bab kubwa.
  4. Melon Micky

    Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

    Mnaosema simu yake ni copy mnatumia kigezo gani?
  5. Melon Micky

    Uandishi ni talanta ninayoihusudu sana

    Wewe sio mwalimu mzuri hivyo hata nikijibu swali lako haitanisaidia. Hata hivyo nikushukuru kwa uwezo wako mkubwa wa kushauri ambao unatokana na miaka uliyokaa darasani. Tofauti ya kusoma na kuelimika iko wazi.
  6. Melon Micky

    Uandishi ni talanta ninayoihusudu sana

    Uandishi ni talanta ninayoihusudu sana. Kwa maana hiyo napenda pia kusoma. Kila siku huwa naamini ya kuwa kwa kusoma sana makala, ngano na riwaya zinazoandikwa na baadhi ya waandishi nguli labda naweza kupanua fikra zangu ili nami niweze japo kuandika! Lakini wapi bwana... Hili suala ni gumu...
  7. Melon Micky

    Maswali nnayojiuliza kuhusu gesi yetu asilia ya mtwara

    Umasikini wa wananchi katika nchi za africa ndio mtaji mkubwa wa wanasiasa wetu. Wakati gas ya mtwara inaanza kutoka tulisema gas hii itatuvusha lkn kwa sasa ni kama hakuna kilichotokea. Gas ipo na kila kitu kipo vile vile, hata huko inakotokea pia hawaelewi. Wacha tuendelee ku mark time.
  8. Melon Micky

    Natafuta rafiki

    Samahani mkuu nikurekebishe kidogo kama hutojali. Sio #Mp ni #PM (private massage)
  9. Melon Micky

    Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    Hii karma inatokea ukimdhulumu au kumtendea ubaya mtu mmoja tu. Vipi wanasiasa wanaokula pesa za wananchi wanyonge na wananchi wanalia kila siku kwa ajili yao? Vipi mafisadi ambao wanajilimbikizia mali nyingi ilhali kuna wanakufa kwa kukosa dawa za bei ndogo mahospitalini. Hii karma inachagua?
  10. Melon Micky

    Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

    Unapoambiwa kuwa "Maskini na wanawe tajiri na mali zake" uwe unaelewa.
  11. Melon Micky

    Huyu Mwanamke anamaanisha nini? Wadau nisaidieni

    Huyo mwanamke anakupenda na hataki kukuua. Mwambie mkapime ukimwi.
  12. Melon Micky

    Naombeni ushauri wa haraka kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi

    Anataka mechi ianze akiwa na goli mbili mkononi? Kifupi ni kwamba huyo kijana hawezi ishi na huyo mwanamke wakadumu kwa sababu mwanamke alishamvunja moyo na ameonyesha ya kuwa huwa anamkumbuka huyo dogo mambo yakiwa hovyo. Mwanamke anapokua amezaa suala la kuepuka kwake ni kufanya maamuzi...
  13. Melon Micky

    Ifike mahali mtambue nafasi ya baba haiwezi kuzibwa na pesa unazomiliki, mtoto anahitaji muunganiko wenu kwa ustawi wa maisha yake

    Mkuu Samcezar pole sana... Nimeona mgandamizo wa hasira zako kupitia kalamu yako mkuu. Lakn tambua ya kuwa wanawake ni sehemu ya jamii yetu, ni mama zetu, ni dada zetu pia ni wake zetu. Kwa muktadha huo hili tatizo litakapoleta matokeo hasi kwenye jamii kama ulivyoelezea hapo juu sisi wanaume...
Back
Top Bottom