Nataka kurudisha kwa jamii

Nataka kurudisha kwa jamii

Kuna mambo mengine nafikiri(kwa maoni yangu) si ya kuomba ushauri.
Mfano ukipata maoni mengi ya kukutaka usimsaidie huyo kijana utafanya hivyo?

Kijana jifunze kujisikiliza, sikiliza sauti ya ndani yako vile inasema nawe, sikiliza moyo wako unavyokuambia na kisha ufuate.
 
Baada ya maongezi ya muda kama nusu saa hivi likaja wazo kwamba hivi siwezi kumsaidia kwa mtaji mdogo hata wa elfu hamsini akafanya biashara hata ya kuuza viungo kama nyanya n.k.
Seriously, mtu humjui wala hakujui lakini bado unapata nusu saa ya kusimama nae barabarani na kuongea nae?

Kama ni kweli, acha tu ni-conclude kwamba ndo maana huwa mnaibiwa au kutapeliwa!!

ANGALIZO: Sio kila demu utakayemkuta kabeba ma-counterbook Mjini Kati ni Mwanafunzi wa Chuo!! Zamani kabla wanafunzi wa sekondari hawajawa radioactive material, usije kudhani kila utakayemkuta kavaa sketi ya orange au light blue ni Mwanafunzi wa Jangwani au Zanaki!!
 
Wewe ni Matter core kabisa yani.

Unataka kusema hadi sasa hivi uko nae unasubili ushauriwe ndo ufanye maamuzi?

Sasa unachotaka hapa ni nini?
 
kuna omba omba mmoja anapenda kushinda kati ya Mlimani,
millennium towers na Kariakoo,

yule jamaa kuna Siku pale mlimani alipata Mtu akajitolea kufund biashara ambayo atatulia na kusaidizana na yule anaemwendesha,

omba omba akawa kama anajing'ata ng'ata yeye anawaza tu apewe chake aondoke,
yule jamaa aliomba mawasiliano Ila akabipu simu haipatikani, ombaomba akasema imezima chaji na namba yake hajaikariri.
wakaachania pale akapewa 20,000 akaondoka,

mpaka leo huwa nakutana nae anaomba.

Ni hivi kuna Mtu ukimwangalia unaweza kuhisi anahitaji msaada unaoufikiria wewe,Ila kiuhalisia Huyo Mtu amesharidhika na maisha ya kuomba omba,

Hivyo basi utakapotoa chochote usiwe na matarajio makubwa wala ukawa disappointed.
 
Wewe ni Matter core kabisa yani.

Unataka kusema hadi sasa hivi uko nae unasubili ushauriwe ndo ufanye maamuzi?

Sasa unachotaka hapa ni nini?

Soma uzi vizuri ndugu
 
Seriously, mtu humjui wala hakujui lakini bado unapata nusu saa ya kusimama nae barabarani na kuongea nae?

Kama ni kweli, acha tu ni-conclude kwamba ndo maana huwa mnaibiwa au kutapeliwa!!

ANGALIZO: Sio kila demu utakayemkuta kabeba ma-counterbook Mjini Kati ni Mwanafunzi wa Chuo!! Zamani kabla wanafunzi wa sekondari hawajawa radioactive material, usije kudhani kila utakayemkuta kavaa sketi ya orange au light blue ni Mwanafunzi wa Jangwani au Zanaki!!
Mkuu umenikumbusha kuna siku nimeamin kumantain ukwasi ni lazima uoneshe roho ya msimamo ambayo weng huitafsir kama roho mbaya if the situation is to be against them nilinusurika 0.1 inches kufirisiwa na hawa warembo atakayeuliza nitamquote ili niendeleze kuepusha post kuwa ndefu zaid
 
TRUE...

Town kwa kweli, ukijifanya mwema sana, basi ipo siku tu utakuja kulia! Na kama ni kumsaidia mtu, bora umsaidie lakini usimpe nafasi ya kukuzoea wakati hata kumjua, humjui!!!
 
Back
Top Bottom