Recent content by Melikiad

  1. M

    Natafuta mume

    Sisi tushaambiwa kazi yetu nikusonga mbele
  2. M

    Tahadhari kwa madereva wa magari

    Siku za karibuni kumeibuka ntondo kwa askari Wa barabarani kutumia photo editor.. wanakubambika kesi huku unawatazama hata haya hawana ..mfano mwezi Dec nilikuwa nasafiri kutokea Dar kwenda Moshi nilipopita mto wami kwa mbele nolikuta askari polisi kikosi cha usalama barabarani wakanisimamisha...
  3. M

    Kumbe Madiwani Wameshaanza Kujibu

    Lakini mbona takukuru nachenyewe ni chombo moja wapo kati ya vile ambavyo walitangaza kutokuwa navyo imani sasa inakuwaje tena wamepeleka ushahidi si wangewapekekea hao Scott land?
  4. M

    Mafuriko Dar, mvua kali ikiambatana na radi yanyesha, umeme wakatwa

    dah nijambo la kumuomba sana Mungu atusaidie kwani haya ni majanga tu ambayo hata tukitupia lawama upande mmoja matatizo yote bado tunakuwa hatujaliangalia kwa mapana yake! Unajua hata nchi zilizo endelea nako huwa majanga kama haya yanatokea na hata kama sijasahau kuna nchi moja majuzi tu hapa...
  5. M

    Iringa kwachafuka: FFU watumia mabomu, waandishi wapigwa mawe

    hata kama usipoamini ni kwamba yametokea jana
  6. M

    Sugu na RUGE

    Haku edit sawa, kwani hujaelewa alikuwa na maana gani? Jifunze kuwa muungwana na si kukimbilia kukosoa vitu vidogo vidogo na kama hukuelewa alichokiandika ungehamia kwingine mimi binafsi sipendi tabia hizi za watu kutembea na madaifu ya wengine, kaka haijanifurahisha.
  7. M

    Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

    angalizo; sijasema kwamba kuandamana ni kubaya hapana lakini kwani hatuwezi kuangalia historia inasemaje katika hili? na kwamba hatuna namna zingine kukaa na kuzungumzia matatizo yetu ni mpaka tuandamane? kwamba katika historia ya nchi hii wapi tulipata matokeo mazuri kwa kuandamana? au ni...
  8. M

    Mpenzi wangu ananiomba Nimnyoe nywele za.......

    nyie msimpoteshe mwambieni ukweli hiyo nikazi yake! kama bado anampenda mpenzi wake aifanye basi sasa mmeanza siasa hapa yanini sasa? wewe mnyoe mwenza wako leo jioni kabla ya kufanya chochote finish[/B], na kama unapenda akutafutie mtu wa kazi hiyo amini haya maneno yataisha yabaki mazoea
  9. M

    nyie wakina dada hii style mnaipendea nini?

    mhh haya mimi yamenizidi umri
  10. M

    Kwa stail hii kuna mapenzi hapa?

    huwa inatokea hasa pale mwanamke akianza kukutana na wanaume wengi katika eneo lake la kazi! hata mimi iliwahi kunitokea kama hii nilijitahidi sana kuacha lakini mtu kama umependa huwa ni msalaba mzito, ninaimani asilimia 40 nimeweza lakini tu napenda niseme kama ukiwa unampenda mwenzio kuacha...
  11. M

    Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

    hongera sana sana mkuu
  12. M

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    uwe mpole! CV ndo hiyo inayotolewa si kama uzijuavyo wewe bali ziko katika mifumo tofauti jifunze kuelewa comment za wengine hata wewe ukiambiwa uandike CV yako ninaimani utajifagilia hasa pale ulipowahi kufanya kazi vizuri, sasa umeweka watu watoe CV ya Mwema kazi yako kusoma na kuchanganua...
  13. M

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    kuna vitu vingi ki ukweli vinakwaza sana lakini pia tunahitaji hekima ya Mungu katika kila tuamualo
Back
Top Bottom