Sugu na RUGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu na RUGE

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KANAN, Nov 6, 2011.

 1. K

  KANAN Senior Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  jamani wanajamii wenzang naomba kujua kwa yeyote anayefahamu chanzo cha mgogoro wa Ruge Mtahaba na Joeseph Mbilinyi .ak.a sugu ulianzia wapi na je hauna suruhisho.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  naomba maana ya neno suruhisho'kwani kabla hujatuma post huwezi kusoma na ku edit?
   
 3. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  sugu kutokubali kuburuzwa, Ruge always ni meneja/promota mnyonyaji
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,425
  Likes Received: 22,335
  Trophy Points: 280
  Ruge anataka kuwa MUnGU wa music industry hapa nchini, na amekuwa akitumia influence aliyonayo ikulu kumkandamiza Sugu kwa kumtia ndani (lock up) mara kwa mara.
  Wakati wa uzinduzi wa malaria haikubaliki Sugu alitiwa ndani bila kosa lolote, hali kadhalika Mbeya ilipokuwa inafanyika Fiesta Sugu akatiwa tena ndani.
   
 5. M

  Melikiad Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Haku edit sawa, kwani hujaelewa alikuwa na maana gani? Jifunze kuwa muungwana na si kukimbilia kukosoa vitu vidogo vidogo na kama hukuelewa alichokiandika ungehamia kwingine mimi binafsi sipendi tabia hizi za watu kutembea na madaifu ya wengine, kaka haijanifurahisha.
   
 6. facebook

  facebook Senior Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sugu ana matatizo sugu. Period
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mararamiko/malalamiko, maudhui/mauzui, muuguzi/muhuguzi, silaha/siraha. acha ujinga mkuu huku kukosea kosea maneno kwa kijinga kunawafanya wengine wasielewe kinachoendelea. kumbuka jf inasomwa na wengi duniani
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Sugu muhuni tu. Form four failure.
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lakini hivyo vitu vidogo vidogo visipokolewa na kurekebishwa ndio huzaa makosa makubwa baadaye. Wala usimuone mbaya huyo aliyerekebisha... chukulia hiyo kuwa ni sehemu ya kujifunza
   
 10. m

  mareche JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wee umesoma mpaka wapi chekechea yeye muheshimiwa wewe kabaka
   
 11. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Na mheshiwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
 12. W

  Wababa Senior Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha pumba wewe, kwani form iv ndiyo nini? Wewe na elimu yako imekusaidia nini?
   
 13. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hicho ndicho kisa cha ugomvi wao?
  Kajipange bro. Hii thread sio size yako.
  Uungwana basi, japo kidogo.
   
 14. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  We ulie faulu uko wapi? I mean unaish mars! Mbwa kahsa
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Ww ambaye sio muhuni na haukufeli form four, Una wadhifa gani hapa nchini, Na watanzania wanakufahamu kwa lipi?
   
 16. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Mradi wa malaria.
   
 17. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Mwanzo wa sentensi weka herufi kubwa na mwisho wa sentensi weka kituo kikubwa.
  Huu ujinga wa kukosea kijinga kijinga unasabisha wengine tusikuelewe.
   
 18. c

  chante Senior Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tupunguze ukali wa maneo,katiba mama ya TZ inasema awe anajua kusoma na kuandika..so tumlaumu mtu au katiba?vp kuhusu jah pipo wa makambako?profesa maji marefu wa tanga?then elimu na utendaji vinashabihiana?balali ana PHD,Peter noni msomi,spika,balile nk je wana deliver kulingana na usomi wao?na vp hao mnaosema hawana elimu ya ziada (sugu,kubenea,prudence) what do they deliver?
   
 19. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,394
  Likes Received: 8,520
  Trophy Points: 280
  so what?
   
 20. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  Kuanguka au kufanikiwa katika maisha si shule pekee bali ni mkusanyiko wa mambo mengi tu,tumeshuhudia wasomi wa viwango vya juu waki-fail katika maisha however,elimu inapaswa kutusaidia kuyajua mazingira na kupambana ili ku-survive.
   
Loading...