Who is IGP Mwema? CV Please!

Mwema nadhani kaleta mabadiliko makumbwa ktk jeshi la police ukilinganisha na tunakotoka, Evidence ya hivi karibuni ktk uchaguzi, Polisi hawakutumia mabavu kama tulivyo zowea huko nyuma

Hongera S Mwema keep it up !!!!!!

Haya sasa umepata jibu mwema ni nani
 
uwe mpole! CV ndo hiyo inayotolewa si kama uzijuavyo wewe bali ziko katika mifumo tofauti jifunze kuelewa comment za wengine hata wewe ukiambiwa uandike CV yako ninaimani utajifagilia hasa pale ulipowahi kufanya kazi vizuri, sasa umeweka watu watoe CV ya Mwema kazi yako kusoma na kuchanganua, nikweli anachapa kazi.
 
Kwenye CV yake kaongezea sifa hii: Kupanga,kutekeleza na kusimamia uuaji wa raia wasio na hatia jijini Arusha January 5,2011
 
Liko wazi usuikatae, jaribu kuwafuatilia wahasibu waliokuwepo kabla, na waliopo sasa, utajua na utajiridhisha mwenyewe.

navyojua mimi watu huajiriwa kutokana na sifa(QUALIFICATIONS) na si dini zao.lakini kwa nini wakiajiriwa waisilamu hata kama wana sifa ionekane ni udini?kwani kuna watu wenye hati miliki ya kuajiriwa ktk nchii hii wao wakiajiriwa ndo sawa ila waislamu inakuwa tatizo.jamani tubadilikeni tusome alama za nyakati.
 
Muundo wa Jeshi letu la Polisi utazamwe upya kwenye KATIBA yetu ijayo. Hakukuwa na haja kabisa IGP kutengua maamuzi yaliyokwishafanywa na RPC/OCD wa Arusha kuruhusu maandamano na mkutano ule. Kila RPC awe huru. Aripoti kwa mamlaka za mikoa/miji husika basi. Tubaki na idara moja tu ya kitaifa ya CID.
 
Back
Top Bottom