nyie wakina dada hii style mnaipendea nini?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mimi nawashangaa sana hawa wakina dada.siku zote wakati wa kuvua nguo hata iwe inambana vipi anaipitisha kichwani,vilevile wakati wa kuvaa wanaipitisha kichwani isipokuwa chu** tu.kwanini mnafanya hivyo?hamuwezi kubadilisha style?.halafu ile kitu mulioianzisha ya kuwekea matiti jeki,yaani unakuta titi saa sita hata kama ni mzee munakua na maana gani?ni hayo tu.
mia.
 
wewe ukivua tshet,cap, mkufu, sweta unapitishia wapi?
 
Mimi nawashangaa sana hawa wakina dada.siku zote wakati wa kuvua nguo hata iwe inambana vipi anaipitisha kichwani,vilevile wakati wa kuvaa wanaipitisha kichwani isipokuwa chu** tu.kwanini mnafanya hivyo?hamuwezi kubadilisha style?.ni hayo tu.
mia.

mmmmmmhhhh! skin tite, suruali,pajama,soksi,oshensendo pia wanapitishia kishwani? cjaona bado, kama umewaona basi
umewaona wakiwa na medula oblangata twisted
 
Mkuu ni kwamba wanawake wengi eneo la hips ni tofauti na kifua, so ni rahisi kupitisha juu kuliko chini.
 
Wewe ndugu yangu, umepata wapi huo uzoefu? unataka kutuambia umewaona wengi wakivaa kupitia kichwani? Hongera!!
 
Mimi nawashangaa sana hawa wakina dada.siku zote wakati wa kuvua nguo hata iwe inambana vipi anaipitisha kichwani,vilevile wakati wa kuvaa wanaipitisha kichwani isipokuwa chu** tu.kwanini mnafanya hivyo?hamuwezi kubadilisha style?.halafu ile kitu mulioianzisha ya kuwekea matiti jeki,yaani unakuta titi saa sita hata kama ni mzee munakua na maana gani?ni hayo tu.
mia.

sisi ambao mademu zetu wana mishepu ya ukweli tunajua ni kwanini. Inaonekana wewe mademu zako wana shepu zinazoruhusu kuvalia nguo miguuni. Pole sana!!!!
 
Mimi nawashangaa sana hawa wakina dada.siku zote wakati wa kuvua nguo hata iwe inambana vipi anaipitisha kichwani,vilevile wakati wa kuvaa wanaipitisha kichwani isipokuwa chu** tu.kwanini mnafanya hivyo?hamuwezi kubadilisha style?.halafu ile kitu mulioianzisha ya kuwekea matiti jeki,yaani unakuta titi saa sita hata kama ni mzee munakua na maana gani?ni hayo tu.
mia.

Kaa utulie uelewe unataka kuandika nini sio kukurupuka!!!!!!!!!!!!!
 
Ukirudi kwenye zile mila na desturi zetu tulizosahau, mtoto wa kike anatakiwa kuvalia nguo kupitia kichwani kaka, haijaja tu kibahati mbaya. Nakumbuka marehemu bibi yangu alikuwa anatamani kututolea madirishani akiona tukivaa sketi kama suruali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom