Recent content by melibam

  1. M

    Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

    Hahahaa,, wewe jamaa mchonganishi sana, sasa kulikua na haja gani kumtaja Ndugai
  2. M

    Nyakato, Mwanza: Wananchi walalamika kuzidiwa kwa TANESCO

    Na vipi kwa mtu anayetaka kuunganisha umeme kwa nyumba iliyo karibu na nguzo, ni kushusha waya uingie kwenye nyumba, gharama zake zikoje maana nimeenda ofisi za tanesco nikaambiwa nilipie laki 3 na elfu 30, na huku nasikia pia gharama zimeshushwa mpaka 27000/=, je kipi ni sahihi, naomba msaada wako
  3. M

    NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Kwa upande mmoja nakubaliana na mtoa mada na upande mwingine namkatalia Mfano CRDB niliwahi kuwa kila nikitoa pesa ATM wanakata elfu 10, nikawafata kule ndani, badala wanisaidie wakaanza kunisema kuwa natumia pesa vibaya na hiyo ni baada ya kuangalia salio langu wakakuta hakuna pesa, na wakati...
  4. M

    Mama na watoto wake

    Wanataga mpaka mayai 30, na wanayaangua karibu mayai yote Leo nilikua naangalia NATIONAL GEOGRAPHIC WILD channel inapatikana Azam TV, walikua na documentary ya hao ndege (mbuni), wameonesha jike ana uwezo wa kutaga hadi mayai 30 na ana uwezo wa kutotoa karibu yote. Hiyo picha aliyoweka hapo...
  5. M

    Mama na watoto wake

    Wanataga mpaka mayai 30, na wanayaangua karibu mayai yote Leo nilikua naangalia NATIONAL GEOGRAPHIC WILD channel inapatikana Azam TV, walikua na documentary ya hao ndege (mbuni), wameonesha jike ana uwezo wa kutaga hadi mayai 30 na ana uwezo wa kutotoa karibu yote. Hiyo picha aliyoweka hapo...
  6. M

    Ni kwanini Lake Victoria,Nyasa na Tanzganyika hazina Fast Ferries

    Ziwa victoria ipo moja mkuu, inafanya safari zake kati ya Mwanza na kisiwa cha Ukerewe Pia iliwahi kuwa inafanya shughuli zake kati ya Mwanza na Bukoba lakini ilisimamishwa maana ilionekana inakimbia sana so inahatarisha usalama wa abiria
  7. M

    Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea achukua fomu kugombea Urais wa TFF

    Alikua anamchukulia fomu ALLY SALLEH yule mwandishi wa habari kutokea Zanzibar
  8. M

    Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

    Mkuu Mungu akujalie uitwe na si kuitwa Tu upate kazi kabisa, maana upande wangu hata hizo interview siitwi siku hizi
  9. M

    Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

    Hii inatuhusu wote na wewe ukiwemo ama ni sisi tu wajibu comments
  10. M

    Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

    Bundi mmoja anauzwaje huko Afrika
  11. M

    Nauza dagaa safi kutoka Ziwa Victoria waitwao ‘Nyama Nono’

    Tatizo nikifungua ofisi dagaa hazitakua fresh tena, maana itabidi niwe nazileta zinakaa muda mrefu, lakini hizi ninazouza ni fresh kwa maana kwamba nazitengeneza mara baada tu ya kupata oda ya mteja Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Nauza dagaa safi kutoka Ziwa Victoria waitwao ‘Nyama Nono’

    Ni dagaa mkuu sio hivyo viumbe ulivyovitaja hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Nauza dagaa safi kutoka Ziwa Victoria waitwao ‘Nyama Nono’

    Unatafuna bila hofu kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom