Nauza dagaa safi kutoka Ziwa Victoria waitwao ‘Nyama Nono’

melibam

Member
Mar 13, 2021
52
139
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri

Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono.

Nyama Nono ni dagaa wanaoandaliwa na kukaangwa wakiwa wabichi kabisa kutoka ziwani.

Dagaa hawa wanawekwa viungo vyote muhimu, mfano tangawizi, Limao, vitunguu Swaumu, na pilipili (kwa maelekezo ya mteja), pia kama kuna viungo zaidi mteja anahitaji viongezwe vinaongezwa, hii ni katika kumsikiliza mteja na kumpa kitu anachokitaka.

Bei ya dagaa hizi ni rafiki kabisa,

Sado moja ni Tsh 15000/-
Ndoo moja ni Tsh 75000/-

Tunapatikana Mwanza mjini, pia mkoa wowote tunasafirisha mzigo kwa uhakika na uaminifu mkubwa.

Mawasiliano 0623441247

Karibu sana tukuhudumie.

Asanteh!

images%20(14).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

NB: kuepusha suala la uaminifu, malipo utachagua mwenyewe namna tutakavyoelewana, aidha ulipie baada ya kuona mzigo ama ulipie kabla ya mzigo kukufikia, maamuzi yako juu ya mteja

View attachment 1813762View attachment 1813763
View attachment 1813770
 
wanaweza kukaa muda gani bila kuharibika, kuhusu usafiri wa mkoani ni sh ngapi kwa uzoefu wako na je hiyo ndoo kubwa ni Sawa na kg ngapi
 
Wanaweza kukaa mida mrefu sana mpaka mwezi mmoja bila kuharibika, but wakikaa zaidi ya mwezi ubora unapungua hawatokua kama wenye siku chache

Ndoo ya lita 20 ambayo ni sawa na sado 5 ina kilo 6-7kg

Usafiri ni shilingi elfu 10, na pia kama uko karibu na ofisi za posta huwa tunatuma kwa njia hiyo pia maana ni salama zaidi.
 
Wanaweza kukaa mida mrefu sana mpaka mwezi mmoja bila kuharibika, but wakikaa zaidi ya mwezi ubora unapungua hawatokua kama wenye siku chache

Ndoo ya lita 20 ambayo ni sawa na sado 5 ina kilo 6-7kg

Usafiri ni shilingi elfu 10, na pia kama uko karibu na ofisi za posta huwa tunatuma kwa njia hiyo pia maana ni salama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechukuwa namba nitumie namba ya wasap nitakutafuta
 
Hebu tuelewane kwa kwenda taratibu! Wana-taste taste vipi?! Isije yale mambo unanunua kisado kimoja, unasema ngoja nionje haka kadagaa kamoja lakini kufika saa 9, kisado kishaisha, kula hutaki, unabaki kunywa maji baridi na fegi. Hebu nihakikishie sitawamaliza, manake huu sio wakati wa kupotezeana 15K kirahisi rahisi namna hiyo! Vipi, nikiwakamulia kandimu kidogo, kapili kidogo, na chumvi kwa mbaali; si itasaidia kutowamaliza kwa mara moja?

Naomba muongozo!
 
Hhahaha, mkuu kiukweli kama wewe ni wa kuonja aisee hautomapiza nao hata siku mbili, maana ni wazuri sana

Hizo viungo ulivovitaja vyote naweka huku huku, so kama unataka pilipili iwe nyingi unaniambia, portion yako naiwekea pili pili ili uogope kuonja onja

Sitaki mteja wangu apate shida kabisa, na pia kwa issue ya uaminifu, utasema mwenyewe ungependa ulipie baada ya kuona mzigo na kuridhika nao au utalipia kabla, maamuzi ni ya mteja

Good idea keep it up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom