- Thread starter
- #21
Tatizo nikifungua ofisi dagaa hazitakua fresh tena, maana itabidi niwe nazileta zinakaa muda mrefu, lakini hizi ninazouza ni fresh kwa maana kwamba nazitengeneza mara baada tu ya kupata oda ya mtejaUngefungua sales center hapa DSM ungepata wateja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app