Mama na watoto wake

Mama na watoto wake

wanapiga hao balaa,
kuna askari mmoja pale ccp aliwahi kuzimishwa na huyo mdude
Actually anaweza kukuua.

Akianza balaa lake option pekee uliyonayo kama hauna silaha ni kulala chini in a fetal position ili kulinda organs hoping msaada uje au achoke akuache. Kumkimbia hautaweza.

Urefu wake wa futi 6 unamtosha kuzipanga na binadamu kabisa.
 
Huyu mbwa je? Sio nyara ya Taifa kweli¿

IMG-20210623-WA0034.jpg
 
Hapana anataka hadi 13 kiwango cha mwisho
Wanataga mpaka mayai 30, na wanayaangua karibu mayai yote

Leo nilikua naangalia NATIONAL GEOGRAPHIC WILD channel inapatikana Azam TV, walikua na documentary ya hao ndege (mbuni), wameonesha jike ana uwezo wa kutaga hadi mayai 30 na ana uwezo wa kutotoa karibu yote.

Hiyo picha aliyoweka hapo Bibi SKY nimeona pia hata kwenye hiyo documentary jinsi mbuni anatembea na watoto wake katika uwingi huo huo kama kwenye picha hiyo
 
Shortly after mating, the female will lay between 12-to-15 eggs.

Generally, females will lay an egg every other day.

http://netvet.wustl.edu/species/birds/ostrich.txt
Wanataga mpaka mayai 30, na wanayaangua karibu mayai yote

Leo nilikua naangalia NATIONAL GEOGRAPHIC WILD channel inapatikana Azam TV, walikua na documentary ya hao ndege (mbuni), wameonesha jike ana uwezo wa kutaga hadi mayai 30 na ana uwezo wa kutotoa karibu yote.

Hiyo picha aliyoweka hapo Bibi SKY nimeona pia hata kwenye hiyo documentary jinsi mbuni anatembea na watoto wake katika uwingi huo huo kama kwenye picha hiyo
 
Kufuga kwa kibali maalum labda au labda kama una zoo ya wanyama

Ova
 
View attachment 1827284
Unaruhusiwa kufuga mbuni nyumbani au ni nyara za serikali?
Miaka ya nyuma enzi tukiwa wadogo
Kulikuwa na mzee mmoja anaitwa kessy buibui
Alikuwa anafuga wanyama mbali,nyoka alikuwa na zoo yake,wakati wa maonesho ya 77 alikuwa ana sehemu ya wanyama
Alikuwa anapenda kututafuta anatupa deiwaka tunaenda naye kwenye sehemu zake alipokuwa anawaweka wanyama tunasaidia kazi
Pale ruvu kulikuwa na sehemu yke ya wanyama mbuni walikuwepo...sasa sisi wengine ujanja,utundu tulikuwa nao tokea utotoni
Kuna siku tuliiba ya la mbuni, sasa huo mtiti wake siyo wa kitoto,yai tulikuwa hatujalitoa
Sasa yule mbuni mama anahaha ana sense yai lilipo,mtiti syo mdg kna mwenzangu aliingia kwenye 18 alipigwa take hadi kuzimia😂
Mm nlikimbilia chini ya mti ndy nkasave,maana kna mzee mmja nlikumbka alikuwa anasemaga tukiwaga naye kma mbuni akikukimbiza kimbilia chini ya mti,maana akija kuinama hawezi
Basi tulikaa pale na mzee mmja mpaka mz kessy anakja,ilikuwa usiku tunaona land-rover inaingia
Wacha nile vibao haha na adhabu juu sema mzee yule alikuwa anatukubali maana tulikuwa kama makamanda wake anatuaminia
Ila mbuni mwenye watoto kaa nao mbali usiwazingue

Ova
 
Back
Top Bottom