Recent content by melech

  1. M

    Kwanini bei ya baadhi ya vipimo vya afya ni kubwa zaidi?

    Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha baadhi ya vipimo kutokana na gharama kuwa juu kuliko vingine. Swali langu ni napenda kujua ni...
  2. M

    Nitapataje channels nyingi FREE kwa dish?

    Amani iwe nanyi! Nahitaji kuweka dish la FTA ila nataka niweze kupata channels nyingi zaidi bila kulipia kila mwezi. Dish la kawaida la FTA hapa Moshi linakuwa na channels kadhaa za hapa nchini pamoja na channels kama Emmanuel TV, TBN na chache nyingine FREE. Ila nataka nipate channels zaidi...
  3. M

    Ule wimbo "background melody" kipindi cha Radio1 zilipendwa

    Amani ikae nanyi! Naombeni jina la huu wimbo: Kuna wimbo ambao Radio 1 huwa wanautumia kama "background melody" kwenye kipindi chao cha Zilipendwa kile cha Jumapili mchana (nadhani bado kinaanza saa nne asubuhi hadi sita mchana). Huwa wanaweka instrumental yake tuu na wanaweka wakati...
  4. M

    Vituo vitatu vya Televisheni (Star TV, Channel Ten na TBC1) vyapigwa faini, Vyaonywa

    Mimi nafikiri ni sawa kabisa adhabu hizo walizopewa.
  5. M

    Wapi nitapata series ya A Beautiful Daughter-in-Law Era? (Mao Doudou na wakwe zake)

    Amani iwe nanyi! Tafadhali naomba mnijuze wapi naweza kupata hii series ya China inaitwa "A Beautiful Daughter-in-Law Era", hii ni ile series ambayo ilitafsiriwa kwa Kiswahili na kurushwa na TBC kwa jina la "Mao Doudou na Wakwe zake". Mimi sijawahi kuwa mpenzi wa series yoyote wala tamthilia...
  6. M

    Nini tafsiri ya ndoto hii?

    Four Blood Moons??
  7. M

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Sina maelezo mengi kwa sasa, ila tafakari kauli yao jana kupitia kwa mwenyekiti wao alipojibu hotuba za Mkuu wa nchi na mgombea aliyetambulishwa. Alisema "Kuna kuonana na wazee hapa na pia kuonana nao pembeni, Tunamwomba mgombea aliyetambulishwa atutafute wazee pembeni ili tumfanyie yale...
  8. M

    Vibonzo vya siku hizi: Ni mtindo wa kisasa au kudumaa kwa vipaji?

    Rugambwa, Nimefurahi sana kuona hii post yako kwasababu na mimi hivi majuzi nilistukia hii kitu na nikawaza kuwa pengine siku moja nitaizungumzia hapa JF, hivyo nimefurahi kuona nawe umeona hili na umechukua hatua ya kulileta hapa kwa kuwa naamini hawa wachora katuni wanaweza kuingia hapa...
  9. M

    Unlimited Internet Using Multi-SSH

    Moshi inapatikana huduma hii?? Nakutumia PM pia.
  10. M

    Ushauri: Nataka kununua Satellite Dish kwa ajili ya kupata FTA tuu!

    Habari zenu wakuu? Nimeazimia kwamba, nataka kununua Satellite Dish (nadhani natumia jina sahihi) yaani pamoja na receiver ili niweze kupata FTA channels. Hii ni kwa mategemeo kwamba nitaweza kupata; -Local Channels (Tanzania) -Kama kuna FTA channels kutoka nchi nyingine za East Africa...
  11. M

    Maajabu ya Remote za StarTimes!

    Ni jambo ambalo hatukulifahamu wengi ila nadhani kiteknolojia itakuwa sio jambo la ajabu sana. Kama alivyosema mmoja wetu hapo juu, ni frequencies zimefanana, yaani unakuta frequencies za kupunguza sauti kwenye chombo A zimefanana na frequencies za kazi yoyote za chombo B hivyo remote control...
  12. M

    Msaada: Elimu na ushauri kuhusu SACCOS

    Steveachi, Asante sana kwa mchango & uelimishaji wako. Nimesoma na nikaelewa uliyoandika yote. Nakushukuru tena kwa kutenga mda wako kuelimisha. Nadhani nitapata mchango zaidi kwa wadau wengine. Asante na Kila la heri.
  13. M

    Msaada: Elimu na ushauri kuhusu SACCOS

    Amani kwenu wote! Nafikiria kujiunga na SACCOS mojawapo ila kabla sijafanya hivyo, ningependa kupata elimu kidogo kuhusu SACCOS. Pia napenda kufahamu ni vigezo gani vya kuzingatia katika kuchagua SACCOS ya kujiunga ili niweze kupata faida za kujiunga na SACCOS. Najua mle watu wanaweka pesa zao...
Back
Top Bottom