naomba uniunganishe na mimi mkuu.
Mkuu tunaomba utuwekee link ya kutudirect kujiunga au tuunge wote coz itakuwa kama usumbufu kila mtu aku pm
samahani hii ni kwa ajili ya pc au android phones cjakupata mkuu. naomba msaaada wako mkuu ili nami nifurahie huduma hiyo nzuri. mahitaji ya kupata huduma hiyo pia mkuu. ntafurahi sana endapo mkuu utansaidia kwa hilo
Nakuandikia PMMkuu nahitaji kuonganishwa na hiyo service as fast as possible
Nakuandikia PM
Nimetuma pm sipati jibu
Nimetuma pm sipati jibu
Nadhani utakuwa hujatimiza vigezo vya mshika dau so kuwa mpole
Niko interested. Nikucheki inbox?
Nimekutumia emailNshatoa Luksa
Ntajibu PM zote sorry for Late reply