Nitapataje channels nyingi FREE kwa dish?

melech

Member
May 29, 2013
62
95
Amani iwe nanyi!

Nahitaji kuweka dish la FTA ila nataka niweze kupata channels nyingi zaidi bila kulipia kila mwezi. Dish la kawaida la FTA hapa Moshi linakuwa na channels kadhaa za hapa nchini pamoja na channels kama Emmanuel TV, TBN na chache nyingine FREE. Ila nataka nipate channels zaidi ikiwezekana channels kama Discovery,NatGeo,History Channel,HBO na kadhalika. Natakiwa kufanya nini? Kuna mtu ameniambia kuhusu kifaa kinaitwa Alpha Box, je ni sahihi?

Naomba ushauri.

(Sitaki channels za kulipia kila mwezi KABISA na nahitaji channels zaidi ya hizi za ndani, kimsingi hizi za ndani hata nikipata hata mbili ni sawa tu, Asante). Nipo Moshi.
 
Top Bottom