Recent content by medical doctor

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanaiogopa CCM

    Mjinga kweli wewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Besigye apewa Kibano cha Mbwa Mwitu huko Uganda, ona hapa!

    Hawa ndoa wala wanalipwa kufifisha upinzani,mjinga mkubwa we
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kupumua harakaharaka ni sawa?

    Inategemea na hali ya mm tu kama ana emotions,au ni mfanya mazoezi sana heart beat lazima iwe kubwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa haya simkubali Magufuli

    Ukweli mchungu,wadau tumekuwa wanafiki sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa haya simkubali Magufuli

    Ninaamini watanzania hawajali nchi yao. Viongozi wanaiba hakuna anaejali, na viongozi wanaiba kwa sababu raia hawajali. 1. Kwa namna gani unaweza fukuza watendaji wa bandari na waziri husika kupangiwa wizara nyingine? 2. Kama bei ya mafuta imeshuka toka 150 to 30 barrel mbn Tanzania iko pale...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa waalimu Kainam Rhotia

    Tunamwomba mkurugenzi wa wilaya ya Karatu achukue hatua Mara moha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa waalimu Kainam Rhotia

    Habari wadau,kainam rhotia ni miongoni mwa shule za kata zilizojengwa kwa nguvu za wananchi,shule hii ina wanafunzi kama mia moja HV,imekidhiri kwa uzembe wa waalimu akiwamo mkuu wa shule,pia matumizi mabaya ya rasilimali za umma na pia waalimu katika shule hii hawafundishi kabisa hawaingii...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Startimes mnatatizo gani?

    Hawa jamaa ni wezi ndugu yao simu zao feki nlinunua smart phone nimeitupa ndani haina hata week,nakushauri uachane na bidhaa zao ni matapeli hawa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu laki tatu wanaotaka kuiyumbisha Tanzania!

    Jamii forum imeingiliwa na watu wenye akili ndogo sana,huyu mtoa mada ni mfano hana akili kabisa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ambazo Rais Magufuli hazitaji wala kuziongelea hadharani

    Ni kweli mkuu aanze na nyumba za serikali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sura za hawa watu hazifanani na kutungua helikopta

    Uko vema mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Ni Kina Nani Wasiotaka Magufuli Afanikiwe na Kwanini?

    Huyo mzee amenunuliwa usimwamini kamwe awadanganye wajinga wenzake,tumechoka uongo wako na utapeli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Ni Kina Nani Wasiotaka Magufuli Afanikiwe na Kwanini?

    Huyo mtoa mada ni tapeli amenunuliwa mwangalieni vzr anahubiri uongo huyu,huyu jamaa nae ni jipu huku jf
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uzembe ktk hospitali unaua sana. Tuchukue hatua!

    Ni kwl uzembe unasababishwa na kufanya kazi kwa mazoea na kutojali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku Download eBooks PDF free

    Tumia Google chrome hlf search kitabu unachotaka andika PDF kwa mbele
Back
Top Bottom