Kashfa ambazo Rais Magufuli hazitaji wala kuziongelea hadharani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,912
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
 
Hahaaaaa! Mambo ya kumsema yapo mengi, wao wanasema hawana cha kumsema.
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Raisi Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
Hafanyi mambo kuwafurahisha nyumbu. Aliyokwisha fanya ni makubwa zaidi kuliko kukaa akikimbizana na kagoda na epa. Kwanza zuia wizi usiendelee, kisha fuatilia waliokwisha iba. Kwanza tunaziba mianya.
 
Jamiiforums! Great thinker! Amelipongeza gazeti la jamhuri na kusifia lililofungiwa! Kazi kwenu waandishi katamka kuwa wekeni wazi kashfa zote yy na majaliwa watatumbua!

Nitafurahi mwandishi atayeandika uchafu wote wa kashfa hizo zote na kuziweka hadharani ili magu azichukulie hatua kama mchongo wa flowmeter!

Najua pasco unajua kila kitu wape data jamhuri hasa uuzaji wa nyumba za serikali tuone kama atagusa!!
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Raisi Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
Gazeti la Jamhuri limepewa sifa kwa kufufua uozo. Labda katika hizo wataziweka kwa facts na data bila majungu. Ikithibitika najua hatua stahiki zitachukuliwa- Falsafa ya Msema Kweli ni Kipenzi cha Mungu!
 
Back
Top Bottom