UngaUnga JF-Expert Member Dec 28, 2014 1,724 1,463 Feb 20, 2016 #1 Najaribu kufikiria, nimelala na mpwa wangu chumba cha wageni, mama hayupo! Hili la kupumua haraka haraka liko sawa kwake?! au ana shida? Asanteni.
Najaribu kufikiria, nimelala na mpwa wangu chumba cha wageni, mama hayupo! Hili la kupumua haraka haraka liko sawa kwake?! au ana shida? Asanteni.
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 Feb 20, 2016 #2 siyo sawa. inawezekana mapafu hayachukui hewa ya kutosha hivyo kusababisha kupumua fasta fasta ili kufidia. anaweza kuwa na shida mapafuni.
siyo sawa. inawezekana mapafu hayachukui hewa ya kutosha hivyo kusababisha kupumua fasta fasta ili kufidia. anaweza kuwa na shida mapafuni.
M medical doctor Member Jan 17, 2016 24 23 Feb 20, 2016 #3 Inategemea na hali ya mm tu kama ana emotions,au ni mfanya mazoezi sana heart beat lazima iwe kubwa