Msaada namna ya ku Download eBooks PDF free

Rihana

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
498
250
Wakuu, poleni na kazi,
Mimi ni mpenzi sana wa kusoma vitabu non fiction, nasikia kuna namna unaweza kupata vitabu na kudownload kwenye simu yako na ukawa unasoma kwa kutumia PDF reader, je ni vipi naweza pata vitabu hivyo napenda latest titles kama vile Adapt, The end of power na Kadhalika..shukrani sana!!
 
ni pm kama hutojali nikusaidie
 
Mimi binafsi pia ni mpenzi was vitabu. Nikikata kudownload kitabu format ya PDF naandika jina la kitabu ama topiki alafu naandika PDF mfano "programming in java PDF " basi vitakuja vitabu vingi tu vyenye format ya PDF. Pia kuna web kama bookboon inavitabu vya kila aina. Au nenda google advance search kuna sehemu unachagua aina ya file unalotaka yaje kwenye matokeo ya kusearch basi hapo we chagua PDF alafu weka title ya kitu unChotaka bAsi hapo yatakuja mafaili na vitabu hivyo unavyoviitaji kwa format ya PDF.
 
bookboon nimeitafuta san spelling zilinitoka ngoja niicheki ila isiwe ya kulipia tu
 
Kama unaweza ukawa na epub reader naweza kushare nawe vitabu sio chini ya mia tano ,mfano wa vitabu ni the notebook, matoleo yote matatu.
 
Back
Top Bottom