KWELI STARTIMES Mnaboa Wateja Wenu, Kila Siku Ni SHIDA Tupu!! MARA Picha Zinakwama, Mara No Service, Leo Tena STARTV Ghafla Tu Imekata, PICHA HAZIONEKANI Kabisa, Tunasikia SAUTI Tu Kama REDIO!!! HIVI Haya Ni Matatizo Ya MAENEO Yetu Haya Kitunda, Au La Kiufundi!!!?? Ama Ndio Mmelemewa Na Wateja!!!??? MMEWEKA ( SPECIAL THREAD) LKN Hakuna Lolote, Maswali Hayajibiwi!! SASA Sijui Kama Ni Ya MAGUMASHI Tu!!!?