Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hiki kibabu kibishi sana na dawa ya watu kama hawa ni kibano tu, fisadi Lowasa(ukawa), Lisu, Mbowe & Co. shukuruni Mungu kuzaliwa TanZania nchi inayoongozwa na Chama cha CCM makini na chenye kutenda haki kwa wote, vinginevyo mngechezea kibano cha mbwa mwitu kama ndugu yenu Besigye na hakuna cha ICC wala shangazi yake ICC