Ushauri wangu ukipata nafasi uza mzigo wote tena kwa bei ya promotion then toroka na pesa za mauzo kakae kijijini huko anza maisha mapya, wakati mwingine mtaji unaupata kwa namna fulani ya ajabu sana
Kuna wakati niliifunga mixer mahali nilikokuwa nafuga broiler so chakula nikawa natengeneza mwenyewe, nikasafiri huku nyuma nikawaacha madogo ndio wakaioverload ikaungia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.