Recent content by MDOTE

  1. M

    JamiiForums Tanzania JKT ni majanga kama operesheni kimbunga

    Wote mnaolichukia JKT ni watoto wa UKAWA, hamna lolote!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samaki aingia mwilini mwa mtoto wa kike kupitia sehemu ya siri

    Sidanganyiki!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Mikoani vipi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania muvi hii ya kibongo ina afadhali

    Ni nzuri kwa kweli,hata kwa kuiangalia na Watoto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kutoka Tanga - Moshi - Arusha. Anzia TAMTCO, SASA KAZI, YARABI SALAMA, SHENGENA, LANG'ATA, ABAS,AMTCO lilikuwa limeandikwa nyuma KIZOTA Oyee!!, ndio likazoeleka jina hilo likazaa KIZOTA, LIEMBA, TAWAKAL, NGORIKA, BEMBEA, WANTED nyuma lilikuwa limeandikwa DUNIA NZIMA, nakumbuka basi limeuzwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    Kama ulikuwa hujui hiyo ndiyo CHAga DEmocratic Moshi Arusha. Huko kwingine wanajipendekeza tu, nani anawataka watu wa vurugu hao, wanaosababisha damu za watu wasio na hatia zinamwagika?, we huoni bendera yao ina alama ya rangi nyekundu? unafikiri inamaanisha nini? TAFAKARI
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wenye vitambi someni hapa..

    Nina wasiwasi na mtoa mada
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga vs 3 pillars

    Kwa mtu mwerevu hawezi kuhangaika nao, ulio wajaa ni wivu,chuki na fitna na kupinga maendeleo ya soka, watu tunataka tutoke kwenye Analojia twende Digital Mechi za ligi zioneshwe LIVE wao wanaturudisha nyuma maendeleo ya mpira. Hebu fikiria karne hii unakataa maendeleo kama hayo, kwa kudai mambo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania (TETESI)Watanzania walioko Rwanda matatani?

    Jamani mlioko huko mtujuze kama ni kweli, maana wengine tuko njiani tunakuja kibiashara, ingawa ukweli tutaupata Rusumo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu Anzieni hapa

    Mi nilikuwa naumia kichwa sana kwa suala hili, nashukuru JK umeliona hili. Anza na Wanyarwanda
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jina halisi la marehemu Eddy Shegy ni nani?

    Jina la Mziray mwambie akutajie Jese John wa TBC, jamaa ananifurahisha sana akilitaja jina Syllasaid sijui nini nini............ Mziray. Hongera Kaka Jese John
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simu na mziki kwenye gari

    Raha jipe mwenyewe!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Anaelea Nkya? na vituko vya vya Mbwa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tigo, Vodacom & Airtel washitakiwe

    Yaani mi hasa tigo ndio siwataki hata kuwasikia, wezi wakubwa hawa jamaa, Niliweka vocha ya buku 5, sijaitumia nashangaa imekatwa na imebaki buku 2, sijawahi kukopa,sijawahi kumpigia simu mtu maana nilisafiri huko nilikoenda mtandao wao hakuna, hivyo haupatikani, na hata Voda pia, huko, nilikuwa...
Back
Top Bottom