Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,637
- 675
ha ha ha basi ndo maana dereva nae akaweka nyimbo za ladha yake, nadhan ilikuwa kukomoana hapo. nani zaidi, atakae salimu amri atazima, na naamin baada ya huyo abiria kushuka dereva alizima au kubadilisha aina ya mziki. ha ha ha
Mkuu ingekuwa sawa kama angeiwasha baada ya kuingia kwenye gari ila kuanzia nje ilikua inaimba hadi aningia kwa bus