jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,988
- 1,437
AINA ZA VITAMBI
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa
kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa
kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na
bia
za ofa.
3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu
hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila
akisimamishwa kazi kinaisha.
4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani
ambacho ukivaa nguo pana hakionekani.
kinasababishwa na kula mno
viporo.
5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana
pesa ila
kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa
ukubwani.
6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada.
Kina
umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa
Maombi tu.