Kama ulikuwa hujui hiyo ndiyo CHAga DEmocratic Moshi Arusha. Huko kwingine wanajipendekeza tu, nani anawataka watu wa vurugu hao, wanaosababisha damu za watu wasio na hatia zinamwagika?, we huoni bendera yao ina alama ya rangi nyekundu? unafikiri inamaanisha nini? TAFAKARI