Recent content by Mdomo wa Bata

  1. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Unene huleta kibamia "WATAALAMU"

    Si baba asad huyu.
  2. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ujenzi reli ya kisasa kuzinduliwa Februari

    Mkuu naona vyuma vinavyotandikwa ni kwetu au ile famba ya majirani zetu?
  3. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ungemalizia tu Mkuu "anawanyima raha wenzetu na reli ya mkopo,na ufipa kukosa la kuzungumza.
  4. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Hebu mngerudia huo Uzi ishakuwa tabu sasa hata ukiingia kwenye galali ucheki tuvideo ni matangazo tu aaaaaaaghhhh!!!
  5. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Passo ina tatizo, nahitaji ushauri

    Mkuu ukiona hakuna mrejesho kaa kimya,usikute mtoa mada kashafariki kwa presha passo ni ziraili mwingine hasa kwa sisi tupatao vipesa vya mkopo na kujikwamua kutafuta kipando na kikaanza kero.
  6. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Je, Maji ya hizi Mvua zinazoendelea ni salama?

    Mkuu tokea kuingie haya magari yanayoitwa telza na subaru kelele zake moshi ndio hizo zinazoharibu Maji tfda wafuatilie wajilidhishe hizi gari zifungiwe tu
  7. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina upepo tumboni (gesi) hautaki kuondoka

    Pole sana Mkuu mi naona hapo njia nzuri kazana tu kujamba ndio njia salama ya kupunguza gesi.
  8. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

    Kwa maneno haya ni wivu tulieni dozi iwaingie.
  9. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Beki wa zamani wa Yanga SC na Taifa Stars, Athuman Juma Chama 'Jogoo' amefariki

    Ndio nyumbani kwa jogoo wa yanga.
  10. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotumia mtandao wa Halotel Tz naomba msaada kuhusu hili

    Moja kati ya kampuni ya kihuni kuwahi tokea na ni wanyonyaji wakubwa pata wafanyakazi wake hawa vijana wa mitaani na mateam leader ukisikie vilio vyao usitegee mfanyakazi alie we ushinde droo
  11. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

    Sina hakika na ulichokiandika juu ya huyo Nikki ila nilichojifunza kwa hapa kwetu watu wanasoma kuongeza idadi madarasa na sifa mtaani kuwa amesoma lkn ukichunguza elimu iliyopo ndani ya kichwa chake haimsaidii yy wala jamii yake,na ndio hao waliojaa mtaani wakipiga kelele za ajira...
  12. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afika salama Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Huyu mtu kwenye wheel chair ni yy kweli au? Kichwa chake cha duara sasa hicho kama cha mtu wa kale.
  13. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Mke na Mama mkwe wananunanuna na wapo nyumbani kwangu

    Fukuza wote! Vyuma vikaze na wao wakuvuguruge achana nao
  14. Mdomo wa Bata

    JamiiForums Tanzania Keko: Askari Magereza watembeza kichapo kwa raia usiku kucha

    Hii habari ipo kichukichuki zaidi Mara askari Polisi kichwa askari Magereza sijui tushike lipi anyway kama ni kichapo wacha wapigwe usitegemee askari kukosa unit iwe nzuri au mbaya tuliopita jkt tunaelewa hata kama Magereza anasukumwa askari wa vyombo vingine watateteana hiyo ni nzuri...
Back
Top Bottom