Recent content by MDANGANYIKAJI

  1. MDANGANYIKAJI

    Hackers wafanya yao website ya UDSM

    Mbona website ya UDSM ipo vizuri tu. Hao watakuwa mahacker rappa
  2. MDANGANYIKAJI

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Eeehee Mungu mponye mtetezi wetu jamani... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MDANGANYIKAJI

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Yupo live mbona kwenye insta yake sema anaposulubiwa wanapause Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MDANGANYIKAJI

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Anaulizwa maswali ya msingi anajikanyaga tu. Hajaomba msamaha ni kama viongozi wa TEF wanamuombea msamaha "yaliyotokea yametokea tusonge mbele tufanye kazi...." Shame on you TEF Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MDANGANYIKAJI

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Wanasema walitegemea Makonda aombe radhi mapema baada ya kupewa ban, ila kwa kuwa muda ulienda sana wakaamua wenyewe TEF wamfate wayamalize. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MDANGANYIKAJI

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Mngejua kinachoongolewa mle TEF wamejishusha hadhi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MDANGANYIKAJI

    How will i get true love?

    Sometime its very hard to deal with heartbreak especial on a person you have trusted for your whole life!
  8. MDANGANYIKAJI

    How will i get true love?

    Nalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
  9. MDANGANYIKAJI

    Niende kiwanja gani Tabata Ijumaa Leo?

    Frishers arena Kinyerezi kipo poa sana na mandhari mazuri
  10. MDANGANYIKAJI

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Umri wako bado, nimejudge kwa uandishi.
Back
Top Bottom