RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,467
- 1,669
Hiyo kampuni inataka wahandisi wa civil engneering, kwa waliosoma civil ingieni web ya yapi mkaombe.NB, yapi merkerezi ndo wanajenga standard gauge railway hapa TZ.................. tumesaini phase two Morogoro-makutupora vijana jiandae kupata ajira.